From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
inagharimu kiasi gani
how much
Last Update: 2020-10-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kituo kinachofaa kwa kayta iliyoko vijijini inagharimu dola za kimarekani 300.
a plant suitable for a rural household costs us $300.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa hakika, mkakati huo huo unakadiria kwamba inagharimu dola za marekani bilioni 300 kufikia kiwango cha kila mtu kupata huduma ya umeme barani kote ifikapo mwaka 2030.
indeed, the same fact sheet soberly estimates that it would cost $300bn to secure universal access to power on the continent by 2030.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mchoro huo unaonyesha pia kwamba nchini bolivia, megabaiti moja kwa sekunde inagharimu kati ya mara 6 na 11 zaidi ya inavyokuwa katika nchi nyingine za jirani kama paraguay, nchi ambayo ina eneo dogo sana la ardhi.
it also shows that in bolivia, one mbps costs between 6 and 11 times more than in neighbouring countries including paraguay, also a land-locked country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: