Results for inakuwa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

inakuwa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hali inakuwa mbaya #makerere

English

situation getting bad #makerere

Last Update: 2024-04-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hali hiyo inakuwa kama inadhalilisha utu wa mwanadamu.

English

but some humanity is stripped away with the intimidating get-up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sawa dada nmeulizia uku pia viza oman tanzania mwezi ujao inakuwa wazi

English

okay dada nmeulizia to also visa oman tanzania next month becomes clear

Last Update: 2022-05-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hiyo moja wapo ya lugha rasmi inakuwa lugha ya pili kuzungumzwa.

English

so one of the official languages will be second most spoken.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

rna genomiki inayorudufiwa ya hisia chanya inakuwa genomiki ya virusi vya kizazi.

English

the replicated positive-sense genomic rna becomes the genome of the progeny viruses.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

au kwa sababu tu hili limefanywa na mtoto wa mtu unayempenda basi inakuwa kawaida?

English

or just because it’s done by the son to the man you love so it’s normal?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

anaeleza kwa nini inakuwa vizuri sana kuwa na ‘familia’ nchini moroko:

English

she explains why it's best to have "family" in morocco:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

(hali hii) inakuwa mithili ya mwiba mwilini mwangu, nikikumbuka alichosema mt.

English

this remains a thorn in my fresh, borrowing st paul’s experience.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadhi ya majengo haya yana zaidi ya umri wa miaka 20, kwa hiyo hali inakuwa mbaya zaidi.

English

some of these buildings are more than 20 years old, so it made things worse.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

machi 16, 2014 inakuwa ndiyo siku ya 1,000 ya kufungwa kwa mwandishi wa ethiopia reeyot alemu.

English

march 16, 2014 marked the 1,000th day of imprisonment for ethiopian journalist reeyot alemu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huyu sheikh ana haki ya kujieleza na inakuwa kama watu wananitarajia niende kwa huyu bwana na kumwambia “nyamaza.

English

this sheikh has a right to express himself and it's as if people expect me to go to this person and say 'you shut up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bila shaka, inakuwa vigumu zaidi kuhalalisha kutoa ruzuku inayotokana na kodi zetu kwa mashirika haya yanayojifanya kupigania haki za wanawake.

English

of course, it gets harder and harder to justify subsidizing your feminazi soap box.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa sababu dawa halali huwa haina madini hayo, basi inakuwa rahisi kwao kutambua dawa hizi bandia kwa kuongeza siku kwenye vipande vidogo vya dawa.

English

since the authentic brand did not contain calcium carbonate, he and his colleagues were able to distinguish counterfeits from the genuine tablets by adding vinegar to bits of the tablets.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hawana fursa; matokeo yanakuwa hayana alama wala miisho isiyoeleweka ambayo pengine inakuwa ikiwasubiri na bado wao hawana habari nayo.

English

opportunity does not avail them; outcomes remain unmarked and the appropriate ends to which they might be working are unknown to them.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

...serikali ni sehemu muhimu katika maisha yetu ya kila siku, lakini kuitegemea sana ni tatizo kwa sababu inakuwa kama hatuwezi kutatua matatizo yetu binafsi.

English

...our government is such a strong part in our everyday lives, but our dependency on them is problematic because it is as if we can't solve our own troubles.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huoni kwamba mwenyezi mungu huteremsha maji kutoka mbinguni, na mara ardhi inakuwa chanikiwiti? hakika mwenyezi mungu ni mpole na mwenye kujua.

English

seest thou not that allah sends down rain from the sky, and forthwith the earth becomes clothed with green? for allah is he who understands the finest mysteries, and is well-acquainted (with them).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inakuwa ngumu zaidi kutumia mitambo ya kuingiza hewa kwa kuwa ugonjwa mkali wa matatizo ya kupumua (ards) hutokea kwa covid-19 na inazidi kuwa ngumu kuongeza oksijeni.

English

mechanical ventilation becomes more complex as acute respiratory distress syndrome (ards) develops in covid-19 and oxygenation becomes increasingly difficult.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

idadi ya walioteketezwa na kujeruhiwa ni kubwa mno hivi sasa – 521 na 3,000 kufikia asbuhi hii, kwa saa za gaza – kuketi pembeni ya maiti au mtu anayefariki inakuwa ni jambo la kawaida.

English

the numbers slaughtered and injured are so high now – 521 and 3,000 as of this morning, gaza time — that sitting next to a dead or dying person is becoming normal.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama wanaume na wanawake wanapobusiana, iwe kwa mapenzi au kwa kufahamiana, wanafanya hivyo kututumia haki yao ya usawa kama raia na inakuwa ni kuonyesha ajabu kuona kuwa kufanya hivyo ni kukuza hisia woga na chuki kwa mashoga, hali za kimapenzi, na hisia za kibaguzi zinazokuwa mzizi wa utamaduni wetu na ambazo lazima tuzibadilishe.

English

when we as men and women kiss, for love or fraternity, we exercise our equality as citizens and we display the double standards that spark homophobia, sexism, the discriminatory attitudes that mark the root of our culture and which we must change.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,782,481,855 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK