Results for inamilikiwa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

inamilikiwa

English

occupied

Last Update: 2022-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

boti ya pili kwa ughali wake duniani, ikiwa inamilikiwa na mwana wa rais wa guinea ya ikweta teodoro obiang nguema mbasogo - picha kwa matumizi ya umma

English

the second most expensive yacht in the world, belonging to the son of teodoro obiang nguema mbasogo, president of equitorial guinea - public domain

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

shule hii inamilikiwa na federación de estudiantes campesinos socialistas de méxico (shirikisho la jamii ya wanafunzi wa kisoshalsti wa vijijini nchini mexico).

English

the school in question belongs to the federación de estudiantes campesinos socialistas de méxico (federation of rural socialist students of méxico).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

fc anzhi ni timu iliyopo makhachkala, jamhuri ya dagestan, na inamilikiwa na bilionea wa ki-rusi suleyman kerimov, ambaye tangu mwaka 2011 amekuwa akitumia mapesa yake kuwanunua wachezaji wazuri kutoka kwenye timu za ulaya kama fc milan.

English

fc anzhi is based in makhachkala, the republic of dagestan, and is owned by russian billionaire suleyman kerimov, who since 2011 has been spending reams of cash to poach good players from european clubs like fc milan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,794,598,124 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK