From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nyimbo nzuri sana naipenda inanifanya nimkumbuke alie mbali na mimi ...popote alipo mwambieni namkumbuka sana
it's a beautiful song that reminds me of a time when i was away from home... i remember it so well.
Last Update: 2023-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nimeijua vuvuzela kwa kuangalia kombe la mabara, na hiyo inanifanya nitamani kwenda kutazama kombe la dunia zaidi kuliko ilivyokuwa.
i just learned of the vuvuzela by watching the confederations cup, and it makes me want to go to the wc even more.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ndugu, mimi nakikabili kifo kila siku! fahari niliyo nayo juu yenu katika kuungana na kristo yesu bwana wetu inanifanya nitangaze jambo hili.
i protest by your rejoicing which i have in christ jesus our lord, i die daily.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini naona kwamba kuna sheria nyingine inayofanya kazi mwilini mwangu, sheria ambayo inapingana na ile inayokubaliwa na akili yangu. hiyo inanifanya niwe mtumwa wa sheria ya dhambi ifanyayo kazi mwilini mwangu.
but i see another law in my members, warring against the law of my mind, and bringing me into captivity to the law of sin which is in my members.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@pinkyelevenshi hata kama mvua inanyesha, watu wa kambodia bado wanaendelea kuwepo mbele ya kasri tukufu. hali hii inanifanya nijisikie kulia. # pumzika kwa amani mfalme sihanouk
@pinkyelevenshi even it's raining but cambodian still stay in front of the royal palace this made me crying #ripkingsihanouk
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@maxen1987: ilivyo, nilivaa rangi za bendera ya taifa; nyeusi, njano nyekundu kuithamini siku hii ya #ugandakufikia miaka 50. inanifanya nijisikie vizuri
@maxen1987: btw, i wore my national flag colours; black yellow red to honour the day #uganda@50. it feels good
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: