Results for inasikitisha translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

inasikitisha

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

inasikitisha.#syria

English

devastating. #syria

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inasikitisha, si moja ya jamii hizo nyingi

English

sadly, uganda is not most societies — mark namanya (@mnamanya) september 24, 2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inasikitisha kwamba vingi nilivyovizungumza jana vimetokea leo tena.

English

it is regrettable that the many so called coincidences that i spoke of yesterday happened once again today.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inasikitisha kujua kwamba watu wenye mtazamo kama wake nao wapo.

English

it's sad to know that people with his mentality exist.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mlipuko kwenye maduka ya westgate.... inasikitisha namna gani?

English

explosion at westgate.... how bad is it? — ma bradley (@nyamburamumbi) september 21, 2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inasikitisha sana kwani idadi ya tembo wanaoshikiliwa inazidi kupungua.

English

meanwhile, there are around 420 captive elephants:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inasikitisha kwamba mapigano yanaendelea kutokea tena katika mlinganyo wa siasa za naijeria:

English

it is pathetic that violence continually reoccurs in nigeria’s political equation:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inasikitisha kuwa, hakuna nchi yenye kuzungumza kifaransa inayoonekana kwenye orodha ya nchi 70 zinazowekeza kwenye tafiti za kisayansi.

English

worse, no french-speaking african country appears in the top 70 of countries investing in research.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inasikitisha mno kwa sababu mashirika haya yamekuwa na nafasi muhimu sana nchini misri linakuja suala la maendeleo na misaada ya wafadhili ilichangia sana katika hili.

English

it is just sad because ngos played an extremely important role in egypt when it comes to development and foreign funding played a role in this.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mlipuko au ni risasi? "@nyamburamumbi: mlipuko kwenye maduka ya westgate....inasikitisha namna gani?

English

explosion or gunfire? "@nyamburamumbi: explosion at westgate.... how bad is it?" — naporneon pornaparte (@acreole) september 21, 2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

tofauti hiyo inasikitisha zaidi afrika kwa sababu kiwango cha umasikini kimeendelea kuwa juu kwa miongo mingi mfululizo, pamoja na kukua kwa wastani wa pato la taifa barani humu.

English

the contrast is all the more striking in africa since the poverty level has been at a consistently high level for decades, despite the continent's significant average gdp growth.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@fanamokoena: inasikitisha kwamba vyombo vya habari vya afrika kusini vinatupa habari za mara kwa mara kuhusu uchaguzi wa ufaransa lakini vinashindwa kufanya hivyo kwa nchi jirani ya lesotho.

English

@fanamokoena: it's embarrassing that sa media gives us daily updates on french elections but fail to do the same for sister country lesotho.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inasikitisha sana, wengi wa wa-ingereza wanaounga mkono wanawake na akina dada walio kwenye eneo la tukio hawana taarifa halisi za habari za vita inayoendelea kule; habari ambayo inatokana na afghanistan yenyewe.

English

sadly, the majority of the british population that supports the lads and lasses on the ground have no real insight into the story of the war out there; the story that is afghanistan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

klimov anamalizia makala yake kwa hisia kali, anaandika kusema “inasikitisha mno kuona mambo yote haya,” na kwa kusema ukweli simulizi kama hizi ni nyingi hasa katika "'urusi hii ya putin' yenye muonekano wa kilimbwende’”:

English

klimov ends his post on an emotional note, writing that "it's horrible to watch all this," and that there is no shortage of such stories in the "sleek-looking 'putin's russia'":

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,748,697,867 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK