From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nchini thailand inatumia programy na sim kadi kwa wasafiri wote ili kutekeleza muda wao wa karantini.
thailand is using an app and sim cards for all travelers to enforce their quarantine.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
video hii pia inatumia vipande vya video vinavyoonyesha uchaguzi wa marekani 2008, lakini hasa vile vinavyokazia mtazamo wa kigeni.
this video also uses footage from other shows on the us elections 2008, but this time concentrating on the foreign perspective.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ikiwa na takribani asilimia 15 ya idadi ya watu duniani, ni ajabu kabisa kwamba afrika inatumia asilimia 3 tu ya umeme unaozalishwa duniani.
representing 15% of the world population, africa consumes paradoxically only 3% of the total world production of electricity.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kampeni hiyo inatumia alama habari za #myfriend na #friendship_has_no_boundaries.
the campaign uses the hashtags #myfriend and #friendship_has_no_boundaries.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jm casanueva, mwandishi wa blogu ya socialtic, anapitia mwelekeo mpya wa harakati nchini mexico kwenye blogu na kwenye mitandao ya kijamii ambayo inatumia utani kuwafikia watu wengi zaidi:
jm casanueva, author of the blog socialtic, reviews the new trend in activism in mexico that uses humor on blogs and social networks to reach a larger audience:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
programu ya gps hutumika kufuatilia maeneo ya watu huko korea kusini ili kuhakikisha hakuna kutoka karantini, kutuma arifa kwa mtumiaji na mamlaka ikiwa watu watatoka kwenye maeneo waliowekwa.
a gps app is used to track the locations of individuals in south korea to ensure against quarantine breach, sending alerts to the user and to authorities if people leave designated areas.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati mimi nilifika kwenye bodi ya kilimo kama waziri wa kilimo mnamo julai 2011, serikali ilikuwa inatumia kiasi kikubwa cha fedha kwenye manunuzi ya moja kwa moja na usambazaji wa mbolea ya ruzuku, lakini chini ya 11% ya wakulima waliipata hiyo mbolea.
when i came on board as minister of agriculture in july of 2011, i found a corrupt and totally inefficient fertilizer sector. the government was spending huge amounts of money on direct procurement and distribution of subsidized fertilizer, but less than 11% of farmers got the fertilizers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@simsimt: kufunga simu yangu, ambayo inatumia nywila, baadaye ilikuja kuwa kichocheo cha kutendewa vibaya sana, kuteswa n.k.; mahojiano ambayo nimeyastahimili #sudanrevolts
@simsimt: locking my phone, which i've password-protected, later became the catalyst for much abuse, torture & interrogation i'd endured #sudanrevolts
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.