From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa makadirio ya 2015, shirika la unhcr lilionesha matarajio yake kwa mpango huo mahsusi kwa wakimbizi wa afghani, iraq na pakistani kama inavyooneshwa kwenye picha ifuatayo.
for their 2015 projection, the unhcr detailed their expectations for iran's intake for mostly afghan, iraqi and pakistani refugees as outlined in the image below.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pengine lugha hiyo inaweza kuwa ki-xhosa kama inavyooneshwa, lakini mtazamo wa kutumia lugha rasmi kama kigezo hauonekani kufanya kazi katika mazingira haya.
perhaps that is xhosa as indicated, but the model focusing on official languages hasn't worked here.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
watu ambao wamenyimwa uhuru kama adhabu ya makosa yao wanapaswa kuhakikishiwa angalau hali za maisha ya kawaida, na wakati mwingine haya hayapatikani kama inavyooneshwa katika masimulizi ya kina maisha ya magereza ya brazili, , yanayotoa suluhisho kwa kwa hali hii ngumu.
people who are being deprived of their liberty as punishment for their crimes should be guaranteed minimum living conditions, and sometimes these aren't met, as shown in the documentary of life in brazilian prisons, which also provides possible solutions for this difficult situation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama inavyooneshwa na muda wa hifadhi hiyo, utaratibu huo ni jambo la muda tu na haiwezi kubadilika kumfanya mtu awe na sifa za kupata ukaazi wa kudumu (kupitia mpango wa kadi ya kijani) au hata kuwa raia wa marekani.
as the name implies, the status is temporary and does not automatically qualify an individual for permanent residency (green card) or citizenship.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ulikuwa ni mti wa pekee duniani uliokuwa umejitenga, uliokuwa unatumiwa kama alama na safari za watu waliosafiri kwa magari kupitia sahel, lakini pia ni mti uliopendwa sana na washairi, waliotokea kulipenda jangwa hili kama inavyooneshwa katika video hizi zilizowekwa na a. décotte:
it was the only tree in the world to be so isolated, serving as a landmark for the caravan routes crossing the sahel, but also inspired many poets, who fell in love with the desert, as shown in these videos by a. décotte:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: