Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kutoka kuwapa wakimbizi upatikanaji wa habari juu ya afya na fursa za elimu mpaka utumiaji wa facebook, maongezi kwa ktumia gmail na skype ili kudumisha mawasiliano na wanafamilia na marafiki kuvuka mipaka ya kijiografia, toleo hili limetoa picha kamili ya jinsi gani tknohama inavyotumika.
from providing refugees with access to information on health and educational opportunities to using facebook, gmail chat and skype to maintain connections with family members and friends across geographical divides, the issue provides a comprehensive overview of how icts are being used.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kutumia alama ishara ya #abortonoesculturametro (utoaji mimba si utamaduni wa ndani ya treni) kwa kurejea sheria mbalimbali zinazoongoza treni za medellín zinazoitwa "cultura metro" (utamaduni wa metro), watu wamekuwa wakiadili maoni kuunga mkono au kupinga utoaji mimba, kwa namna ile ile kama mifumo ya sauti kwenye magari inavyotumika kila siku kutuma ujumbe na habari nyingine za picha.
under the hashtag #abortonoesculturametro (abortion is not metro culture) referring to the set of rules governing medellín's metro called "cultura metro" (metro culture), people have been sharing their opinions for and against abortion, in the same way that the mass transit system installations' cars are used on a daily basis to post messages using other graphic material.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting