Results for inayoonekana translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

inayoonekana

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

vijimambo kwamba hakuna hatua inayoonekana kwa unafuu.

English

no big or systematic efforts for aid.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nitrogen sifa kakysh, anauliza swali kuhusu hamasa inayoonekana mara kwa mara kwenye wimbo huo:

English

nitrogen praises kakysh, and poses a question about a muse that appears regularly in his songs:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inasikitisha kuwa, hakuna nchi yenye kuzungumza kifaransa inayoonekana kwenye orodha ya nchi 70 zinazowekeza kwenye tafiti za kisayansi.

English

worse, no french-speaking african country appears in the top 70 of countries investing in research.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

badala yake, nitaweka kiungo cha kila moja wapo, inayoonekana, na maneno machache ya kwa nini ni muhimu kuzisoma.

English

instead, i’ll just post a link to each, a visual, and why i think it’s worth reading.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika hatua inayoonekana kuwa ya pekee, raia wa moroko ambao wamekuwa wakinufaika na kazi za watawa hawa, wamejitolea kuujenga upya msalaba huo.

English

on a positive note, moroccans who have benefited from their services have volunteered to reconstruct the cross.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maoni ya crawford kuhusu vijana wanaoendelea kujishughulisha na shughuliza mashambani, pamoja na njia inayoonekana ya nchi kuelekea kwenye utajiri, yamekuwa kwenye vichwa vya waghana.

English

crawford’s remark about the youth still working on farms, despite the country’s apparent road to riches, has been on the minds of ghanaians.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini nyuma ya hali hii inayoonekana kijuu juu kuwa ni kupendwa na malipo makubwa kadhalika, muziki huu hauwezi kuwa mzuri wala wa kuvutia mashabiki wake mpaka kwanza wakaguzi wa kazi za sanaa nchini korea kusini hawajakamilisha kazi yao.

English

but behind the glamorous facades and big paychecks, it's not all fun and romance until south korea's censors have done their work.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati utafiti wake wa kwwenye mtandao uliposhindwa kuambulia chochote bali video moja tu kwa lugha ya kihausa pamoja na nyingine za matangazo ya biashara yaliyojificha yanayotangaza vinywaji vya aina ya getorade, doc gurley aliwakusanya marafiki wachache pamoja na kutengeneza video inayoonekana hapo chini.

English

when her online searches yielded nothing but a single hausa-language video and a handful of others covertly advertising gatorade-style electrolyte drinks, doc gurley got a few friends together and made the video below.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha inayoonekana ya mahindi yanayolimwa zambia imewekwa na choconancy1 kwenye mtandao wa flickr (cc by-nc-sa 2.0).

English

featured image of zambian maize by choconancy1 on flickr (cc by-nc-sa 2.0).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mtu ambaye ndiyo mara yake ya kwanza kwenda rwanda, ni vigumu mtu kutoshangazwa na kutoshabihiana kati ya matukio ya kutisha sana yaliyotokea miaka 15 iliyopita na hali inayoonekana kuwa ya utulivu mkubwa na ustawi wa aina yake inayotawala sasa nchini humo, ambapo nchi hiyo inaonekana kuwa kiini cha uchumi unashamiri kwa kasi wa afrika ya mashariki.

English

as i first-time visitor to rwanda, it’s hard not to be mystified by the mismatch between the ferocious events of just 15 years ago and apparent calm and prosperity in rwanda, which aspires to be the hub of an economically vibrant east africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

namba ya dharura 71207326 kwa ajili ya taarifa & maswali kwa familia za waliodhurika/namba ya dharura 1701 ili kutoa habari za mabaki na miili inayoonekana #et409 #lebanon

English

hotline 71207326 for info & inquiries by the victims families / hotline 1701 to inform of any wreckage of bodies sighting #et409 #lebanon

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa hakika, wapinzani wa mapinduzi ya kijeshi hivi majuzi nchini thailand, yaliyoiong'oa madarakani serikali iliyokuwa imechaguliwa kidemokrasia iliyokuwa ikiongozwa na yingluck shinawatra, na waliweza kuiga alama ya vidole maarufu ya vitatu inayoonekana kwenye filamu hiyo.

English

indeed, opponents of thailand's recent coup, which displaced the democratically-elected government of yingluck shinawatra, have even adopted the movie's famous three-finger salute.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,471,691 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK