Results for inayoonyesha translation from Swahili to English

Swahili

Translate

inayoonyesha

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ramani inayoonyesha maeneo ya kupokelea damu nchini kenya.

English

a screenshot of a crowdmap showing blood donation sites in kenya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ifuatayo ni video inayoonyesha bweni la chuo kikuu cha tehran jumapili usiku.

English

here is a video film showing a dormitory of the university of tehran on sunday night.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anaweka video hii, inayoonyesha kanisa la kiinjili, kijijini humo likiwaka moto:

English

he shares this video, showing the evangelical church, in mallawi, burning:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tazama video yetu mpya inayoonyesha picha na nukuu kutoka kwa baadhi ya wanaotuunga mkono:

English

watch our new video highlighting images and quotations from some of our supporters:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha iliyopigwa kutoka kwenye video ya youtube na kituo cha habari cha nour inayoonyesha operesheni ya uokoaji

English

a screenshot of a youtube video by nour media center showing the rescue operation

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

gaby silva aliweka video kwneye mtandao wa instagram inayoonyesha maandamano yaliyofanywa na kikundi cha wavenezuela jijini madrid.

English

gaby silva published a video on instagram of the demonstration by a group of venezuelans in madrid.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ifuatayo ni filamu inayoonyesha mwanamke wa ki-irani anavyopambana na vikosi vya usalama kwenye kituo cha basi.

English

below, is a film showing an iranian woman taking on security forces by a bus stop.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kielelezo hiki kimechukuliwa kutoka kwenye ripoti iliyotajwa hapo juu, inayoonyesha takwimu za ukatili wanaofanyiwa wasichana wa mitaani:

English

this graph is taken from the above report, which shows statistics of violences inflicted upon street girls:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akiguswa na maendeleo ya uchumi yaliyofanywa na nchi ya rwanda, abramowitz haoni kama kuna dalili yoyote inayoonyesha kuwa kuliwahi kutokea mauaji ya kimbari miaka 15 iliyopita:

English

impressed by the economic development of rwanda, abramowitz sees no traces of the atrocities experienced 15 years ago:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@omarc: napata pasi yangu ya kusafiria baada ya saa 5, pamoja na kadi ya kuniruhusu kupanda ndege inayoonyesha saa 11.30 alfajiri ...

English

@omarc: got my passport back after just shy of 5hrs, with a return boarding card marked for 5:30am...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa sars-cov 2 ina ukuaji wa ace-2 inayoonyesha seli zinazonyoosha nyuso za mwili wako katika mfumo wa kupumua, wagonjwa wenye covid-19 kali wana dalili za systemic hypainflammation.

English

although sars-cov-2 has a tropism for ace2-expressing epithelial cells of the respiratory tract, patients with severe covid-19 have symptoms of systemic hyperinflammation.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

• gm alimwambia factory manager kuandaa report ya kila mwezi juuya uzalishaji. inatakiwa ionyeshe challenge, achievement pamoja na wayforward • gm alimwambia fm kuwe na report ya kila mwezi inayoonyesha mapato na matumizi • majukumu ya hr yamehamishiwa kwa kitoy kwa kipindi hiki ambacho martha yupo maternity leave • utaratibu wa kuvaa proper uniform ni monday, tuesday, thursday and friday new uniform. and for wednesday watavaa old uniform • hango ajadiliane gharama za mawanjeni na ili

English

• gm instructed the factory manager to prepare a monthly report on production. it should reflect the challenge, achievement and wayforward • gm told fm that there should be a monthly report showing income and expenditure • hr roles have been transferred to kitoy for this period in which martha is maternity leave • the process of putting on proper uniforms is monday, tuesday, thursday and friday new uniforms. and for wednesday they will wear old uniforms • immediately negotiate the cost of starting up and ordering

Last Update: 2024-07-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,603,108 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK