Results for inayosisitiza translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

inayosisitiza

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwa upande mwingine, james chikonamombe, raia wa zimbabwe anayeishi amerika, anayaona mashambulizi haya kama ushuhuda wa kushindwa kwa dhana ya umajumui wa afrika (falsafa ya kisiasa inayosisitiza mshikamano miongoni mwa wafrikaa):

English

meanwhile, james chikonamombe, a zimbabwean national based in the us, saw the attacks as evidence of the failure of pan africanism (a political philosophy that promotes solidarity among africans):

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii inajumuisha wafanyakazi ambao hutangamana na umma kwa jumla kama vile katika shule, mandhari ya kazi yenye watu wengi, na sehemu zingine za biashara rejereja yenye watu wengi.vidhibiti vya uhandisi kwa hii na vikundi vyenye uwezekano mkubwa ya maambukizi inajumuisha kuweka chujio za hewa ya hali ya juu, kuongeza viwango vya uingizaji hewa, kuweka vizuizi kama vile vizuizi angavu za kupiga chafya, na kuweka dirisha la kupitia kwa unapoendesha gari kwa huduma ya wateja.udhibiti za utawala kwa kikundi hiki na vingine vilivyo hatarini ni pamoja na kuhimiza wafanyakazi wagonjwa kukaa nyumbani, kubadilisha mikutano ya uso kwa uso na mawasiliano kwa njia za kimtandao, kuanzisha kufanya kazi kwa zamu zilizolegezwa, kukatiza safari zisizohitajika katika maeneo yaliyo na mkurupuko unaoendelea wa covid-19, kutunga mipango ya mawasiliano ya dharura ikiwemo jukwaa la kujibu maswali ya wafanyakazi, kutoa elimu na mafunzo ya sasa kuhusu hali za hatari ya covid-19 na tabia za kujikinga, kufunza wafanyakazi wanaohitaji kutumia nguo na vifaa vya kujikinga jinsi ya kuzitumia, kutoa rasilimali na mandhari ya kazi inayosisitiza usafi wa kibinafsi, kuosha mikono mara kwa mara, kupunguza ufikivu wa wateja na umma kwa sehamu ya kazi, na kubandika ishara kuhusu kuosha mikono na hatua zingine za kuzuia covid-19.kulingana na kazi inayofanywa, wafanyakazi walio na kiwango cha wastani chache ya maambukizi huenda wakahitaji kuvaa vifaa vya kijikinga kibinafsi ikiwemo baadhi ya mchanganyiko wa glavu, gauni, kizuizi cha uso au barakoa ya uso, au miwani.

English

these include workers who have contact with the general public such as in schools, high-population-density work environments, and some high-volume retail settings.engineering controls for this and higher risk groups include installing high-efficiency air filters, increasing ventilation rates, installing physical barriers such as clear plastic sneeze guards, and installing a drive-through window for customer service.administrative controls for this and higher risk groups include encouraging sick workers to stay at home, replacing face-to-face meetings with virtual communications, establishing staggered shifts, discontinuing nonessential travel to locations with ongoing covid-19 outbreaks, developing emergency communications plans including a forum for answering workers’ concerns, providing workers with up-to-date education and training on covid-19 risk factors and protective behaviors, training workers who need to use protecting clothing and equipment how to use it, providing resources and a work environment that promotes personal hygiene, requiring regular hand washing, limiting customers' and the public's access to the worksite, and posting signage about hand washing and other covid-19 protective measures.depending on the work task, workers with at least medium exposure risk may need to wear personal protective equipment including some combination of gloves, a gown, a face shield or face mask, or goggles.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,743,024,799 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK