From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tafadhali kuongozwa ipasavyo
kindly be guided accordingly
Last Update: 2020-11-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
moyo wake haufanyi kazi ipasavyo.
her heart is malfunctioning.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wabunge hawatumii mamlaka yao ipasavyo.
mps don't use their power properly.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo.
but we know that the law is good, if a man use it lawfully;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wale tulio wapa kitabu, wakakisoma kama ipasavyo kusomwa, hao ndio kweli wanakiamini.
those (of the people of the book) who have received our book (quran), and read it thoroughly, believe in it.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mcheni mwenyezi mungu kama ipasavyo kumcha; wala msife ila nanyi ni waislamu.
be wary of allah with the wariness due to him and do not die except as muslims.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ninatumia haki zangu za kujieleza ipasavyo bila la kuingilia haki za wengine, na hili ninataka kulionesha popote pale.
i use my free speech rights responsibly without hindering other peoples’ rights and i want to practice it everywhere.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
shirika hilo lilifafanua kwamba matokeo hayo yasiyo sahihi yanaweza kutokana na kukosa kukusanya sampuli au kutotumia vifurushi ipasavyo.
the firm explained that the incorrect results may be a result of a failure to collect samples or use the kits correctly.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
enyi mlio amini! mcheni mwenyezi mungu kama ipasavyo kumcha; wala msife ila nanyi ni waislamu.
believers, fear allah as he should be feared, and do not die except as muslims.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rais huyo alitoa maoni ambayo ninayachukulia kuwa maoni yasiyofikiriwa ipasavyo, labda yalitegemewa kuishia kuwa kichekesho, kuhusu vyombo vya habari.
the president made what i consider ill-thought-out comments, probably meant to be humorous, regarding the press.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"kwa nini wanafunzi wako hawajali mapokeo tuliyopokea kutoka kwa wazee wetu? hawanawi mikono yao kama ipasavyo kabla ya kula!"
why do thy disciples transgress the tradition of the elders? for they wash not their hands when they eat bread.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
janga la njaa ambalo kwa kiasi kikubwa haliripotiwi ipasavyo huko sahel limechukua sura kubwa ya kutisha kufuatia kiasi cha watu milioni 2.5 nchini naija hivi sasa kuathirika na uhaba wa chakula.
the largely under-reported food crisis in sahel has taken worrisome proportions as about 2.5 millions of people in niger are currently affected by food shortage.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
licha ya hayo, viwango vidogo vya corticosteroids vya dozi ya chini hadi ya wastani imependekezwa kutumika ipasavyo kutibu wagonjwa walio katika hali mbaya wa covid-19.
nevertheless, short courses of corticosteroids at low-to-moderate doses have been recommended to be used prudently for critically ill covid-19 patients.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jumuiya ya blogu caribbean bila shaka ina mengi ya kusema kuhusu nelson mandela na urithi wake pamoja hali halisi ya kifo chake kukubalika; timu ya gv caribbean itatoa habari ipasavyo katika kipindi hiki.
the caribbean blogosphere will undoubtedly have much more to say about nelson mandela and his legacy once the reality of his death sinks in; the gv caribbean team will provide updates accordingly.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
utafiti mmoja ulionyesha kwamba kuosha mikono ipasavyo na taratibu zingine rahisi zinaweza kupunguza kiwango cha maambukizi ya mtitiriko wa damu yanayohusiana na katheta kwa 66.shirika la afya duniani limchapisha jedwali linaloonyesha njia za kawaida za kuosha na kusugua mikono katika sekta za matibabu.
one study showed that proper hand-washing and other simple procedures can decrease the rate of catheter-related bloodstream infections by 66 percent.the world health organization has published a sheet demonstrating standard hand-washing and hand-rubbing in health-care sectors.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@lanycassie #pumzika kwa amani mfalme sihanouk, babu yangu shujaa ameutumikia ulimwengu ipasavyo <3 pic.twitter.com/fud2ilqt
father king of independence norodom sihanouk. pic.twitter.com/11x8wrxd @lanycassie #ripkingsihanouk my hero grandpa smile the best in this world <3 pic.twitter.com/fud2ilqt
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"nimeshuhudia mama yangu pamoja na shangazi zangu wakilia, wakati mwingine hata walimu katika shule nilizosoma -na hali hiyo ilinifanya nijisikie kwamba kuna mambo hayaendi ipasavyo."
"i had seen tears on faces of my aunts or mother, or just teachers randomly at school — and that made me feel that something is just not right."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
(...) kuna nafasi ambayo mpaka sasa haijatumiwa ipasavyo na vyama vya siasa nchini msumbiji, iwe ni kwa ajili ya kueneza propaganda za kisiasa au kufanya kampeni za uchaguzi: nalo ni mtandao wa intaneti.
(...) there is a space that until now has been little explored by the national political forces, be it for political propaganda or electoral campaigns: the internet.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: