From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lengo lao kuu sio kutetea itikadi yoyote, ila kuboresha hali ya maisha kwa watu wanaoishi na ulemavu au magonjwa nadra.
their main objective is not to defend any ideology, but rather improve the quality of life for people living with a disability or rare disease.
ikulu ya marekani hivi sasa ni mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu kuhusu kupambana na itikadi kali ukiwa na wawakilishi kutoka kwenye nchi zaidi ya 60.
the white house is currently hosting an international 3-day summit on countering violent extremism with representatives from over 60 countries.
maswali bado yanaendelea kuibuliwa endapo meja hassan alikuwa mwenye siasa kali na ambaye alifanya mashambulizi hayo kwa msukumo wa itikadi ya kidini au labda tu alikuwa na tatizo la kiakili.
questions are still being raised as to whether major hasan was an extremist who carried out the attack based on religious ideology or he was simply mentally ill.
wakati mimi nafahamu na kuheshimu mapambano ya nelson mandela na kule kuwa mfungwa wa kisiasa ndani ya nchi yake mwenyewe kwa sehemu kubwa ya maisha yake, lakini sifahamu itikadi zake za kisiasa baada ya kifungo na urafiki aliokuwa nao na baadhi ya viongozi wabovu wa dunia.
while i appreciate and respect nelson mandela's struggles and his being a political prisoner within his own country for a large part of his life, i am not unaware of his post-prison political ideology and all the friendships he held with some of the world's nastiest leaders.
maswali hayo yaliyochambuliwa kwenye karabrasha la ndani ya serikali lenye kurasa 36 lilipatikana kupitia jarida moja la mtandaoni na lilipangiliwa na kituo cha taifa cha kupambana na ugaidi ni sehemu ya mkakati mpana wa serikali wa kupambana na itikadi kali, unatoa mwito kwa jamii na viongozi wa dini wa kila mahali kufanya kazi na mashirika ya kiserikali na kusimamia sheria .
the system detailed in a 36-page internal government document obtained by the digital magazine was put together by the national counterterrorism center and is part of a wider government strategy for countering violent extremism, which calls for local community and religious leaders to work together with law enforcement and government agencies.
mfumo huo unatarajiwa "kuwaweka maafisa wa serikali ya marekani katika hali ya tahadhari kwa watu wenye hatari ya kugeuka kuwa watu wa ghasia, na familia au jamii zilizo kwenye uwezekano wa kukumbatia itikadi za kikaidi."
the ranking system is "supposed to alert us government officials to individuals at risk of turning to radical violence, and to families or communities at risk of incubating extremist ideologies."
gazeti la kila siku la kiingereza nchini iran tehran times, ambalo ni sehemu shirika la habari la mehr linalomilikiwa na shirika la kueneza itikadi ya kiislamu , lilieleza shukrani za sivanka dhanapala, ambaye ni mwakilishi wa unhcr nchini humo, kwa mradi huo:
iran's english daily tehran times, part of the mehr news agency owned by the islamic ideology dissemination organisation, described the "gratitude" of sivanka dhanapala, the unhcr representative in iran, for the program: