Results for iwapo translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

iwapo

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

iwapo una homa ya kiwango cha mia au mbili au zaidi

English

if you have a fever of a hundred and two or higher

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

iwapo unafikiri kwamba dalili au matatizo yako yanahitaji kuangaliwa vyema zaidi

English

if you think that your symptoms or problems warrant a better look

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

itakuwa vigumu kufikia azimio la vision 2030 iwapo watu hawatakataa ufisadi mdogomdogo.

English

it will be difficult if not impossible to meet our goals for vision 2030 if dont say no to petty corruption.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa hawawezi, fanya mipango iwapo unahitaji kusalia mahali ulipo kwa muda mrefu.

English

in case they can't, make preparations in case you need to stay where you are for an extended period.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

3) uchujaji wa habari hauwezi kuwa na nguvu iwapo mawasiliano ya intaneti yatabaki bila kuchujwa.

English

3) information censorship is ineffective as long as internet remains uncensored. rising number of internet users and independent online contents will shape major opinions and put government under pressure.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa usafiri wa baadaye, fikiria kuhifadhi nafasi ambayo unaweza kurudishiwa fedha iwapo hali zinazobadilika zinakulazimisha kubadilisha mipango yako.

English

for travel in the near future, consider making refundable reservations in case the changing situation forces you to change your plans.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pengine inapaswa isisitizwe kuwa sehemu tuliyotengana haikuwa iwapo mtu binafsi aliunga mkono haki fulani ya wapalestina au mkakati wa kukomesha kukaliwa kwa mabavu.

English

it should perhaps be stressed that the point of dispute was not whether one personally supported a particular palestinian right or strategy to end the occupation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bado haijulikani iwapo uzito au kiwango cha udhibiti wa hali sugu za afya huathiri hatari ya ugonjwa mbaya unaohusiana na covid-19.

English

it is not yet known whether the severity or level of control of underlying health conditions affects the risk for severe disease associated with covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

iitakuwa jambo la kuvutia kubaini iwapo vitambuzi vyovyote vyenza vinaweza kuhitajika kwa ajili ya usambazaji wa sars-cov-2.

English

it will also be of interest to determine whether any other coreceptor might be required for sars-cov-2 transmission.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kupima kwetu wagonjwa walio katika hatari ya chini kutaonyesha iwapo mkakati wa udhibiti uliowekwa kwa msingi wa upimaji wa kivairolojia wa wagonjwa walio katika hatari kubwa na watu waliogusana naye na kujitenga.

English

our testing of low-risk patients will also inform whether the containment strategy that is based on virology testing of high-risk patients and their contacts plus self-isolation is effective.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, hatuna uhakika kwa sasa iwapo mizani ya uchunguzi inatoa data toshelevu ya kuendesha mikakati ya ndani ya udhibiti au ikiwa kwa namna isiyo mara kwa mara kunakidhi mahitai ya umri wetu wa maelezo.

English

however, we are at present unsure as to whether the scale of this surveillance provides sufficient data to drive local containment strategies or if reporting infrequently meets the need of our information age.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

carlos rodriguez wa rescatar anatoa muhtasari wa jinsi baadhi ya wanahabari ambao wanarahisisha kitendo hicho kwa kusema kuwa padri huyo wa zamani hana mke wala watoto wa kuwalea, wakati wengine wanajiuliza iwapo atatumia fedha alizokwisha kuzihifadhi.

English

carlos rodríguez of rescatar summarizes the reactions of some in the press who are downplaying the gesture by pointing out that the former priest does not have a wife or children to support, while others wonder whether he will spend the reserved funds at his disposition.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bado haijajulikana iwapo ataamua kurefusha mkataba wa kampuni ya kuchimba mafuta, kitu ambacho kitakuwa kinyume cha matakwa ya baraza lake la mawaziri, hasa kwa waziri wa mazingira luis ferraté, ambaye anapinga kabisa urefushwaji wa mkataba huo.

English

it is still uncertain whether he will extend the contract to the oil company, which may go against the will of members of his own cabinet, as is the case with luis ferraté, the minister of the environment who is not in favor of extending the contract.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

iwapo kuna idadi kubwa sana ya visa vya covid-19 kitaifa, sampuli za watu waliopona zinaweza kukusanywa kutoka katika huduma za rcgp rsc ambapo kuna visa vilivyothibitishwa, kukiwa na uwezo wa kuunganisha rekodi nzima ya kimatibabu.

English

if there are a large number of covid-19 cases nationally, convalescent samples could be collected from rcgp rsc practices where there are confirmed cases, with the ability to link to the full medical record.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

26 ya idara ya elimu (deped), iliyoruhusu vitini vya kufundishia elimu ya ngono, ingeliweza kuwa hatua chanya, iwapo kitengo hicho kinge endesha mchakato wa kushauriana na wadau mbalimbali kabla ya kuanza kutekeleza mpango huo.

English

the department of education (deped)’s memorandum no. 26, allowing the use of teaching modules on sex education, could be a positive step, granting that deped will conduct an intensive process of consultation with different stakeholders before full implementation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,762,447,272 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK