Results for jaji translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

jaji kiongozi wa mahakama kuu

English

judges of the high court

Last Update: 2023-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

chaguzo la jaji – proggie uganda

English

judge’s choice – proggie uganda

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini jaji masipa alikuwa na hoja inayoeleweka kutoa hukumu

English

but #judgemasipa had well reasoned argument reaching sentence. #oscarsentence #oscartrial. — thebe ikalafeng (@thebeikalafeng) october 21, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na kisha alichana picha ya mfalme mbele ya jaji.

English

cont'd # bahrain — maryam alkhawaja (@maryamalkhawaja) october 14, 2014 #pt she then ripped a picture of the king and placed it in front of the judge.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sawa, u mtenda haki na mema wa namna gani, jaji bardwell.

English

well, how thoroughly magnanimous of you, justice bardwell.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya kukaa jela kwa saa 48, jaji aliamuru kwamba aachiwe huru.

English

after 48 hours spent in jail a judge decides to release him.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jaji anayesimamia kesi hiyo, anayeitwa salavati, bado hajatoa uamuzi katika kesi hiyo.

English

the presiding judge, named salavati, has not yet ruled in the case.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bila kujali vile tunavyofikiria jaji masipa alielewa kwa hakika lengo la hukumu. ni kupatanisha watu sio kutafuta mkosaji

English

regardless of what we think judge masipa really understands the purpose of #judgment, its for #reconciliation not #condemnation #oscartrial — prosper ntuli (@proetic) october 21, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

amemjibu jaji: “mimi ni binti wa mtu ajisikiye fahari na aliye huru…”

English

she said to judge: " i'm the daughter of a proud & free man..." cont'd #bahrain — maryam alkhawaja (@maryamalkhawaja) october 14, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

rais thabo mbeki tayari amewasilisha nyaraka katika mahakama ya mambo ya katiba kuomba ruhusa ili kukata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa na jaji chris nicholson.

English

president thabo mbeki has lodged papers in the constitutional court for permission to add his name to an application to appeal judge chris nicholson’s judgment.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je! hakika ninaweza kukuhukumu kwa msingi wa picha hii, lakini mimi sio jaji wa mahakama kuu kushinikiza uamuzi wangu.

English

can definitely judge you on basis of this photograph, but i am not a judge of supreme court to pin my decision.

Last Update: 2021-05-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

betty mould iddrisu, jaji na waziri wa sheria wa ghana, anaandika kwenye blogu ya pambazuka.org:

English

betty mould iddrisu, jurist and minister of justice of ghana, writes on pambazuka.org:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama jaji wa masuala ya amani, anatakiwa kuelewa kwamba ndoa za rangi tofauti si kinyume cha sheria tena – baada ya kuonekana ni kinyume cha katiba miaka 40 iliyopita.

English

as a justice of the peace, he should be aware that interracial marriage is not illegal anymore – having been deemed unconstitutional 40 years ago.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hukumu hiyo ilifikiwa baada ya vikao 49, masaa 250, na kuandikwa katika kurasa 60,000, sultab al qassemi alitwiti, akimnukuu jaji ahmed refaat.

English

the trial took 49 sessions, 250 hours and spanned 60,000 pages, tweeted sultan al qassemi, quoting judge ahmed refaat.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,884,389,915 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK