Results for jazba translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

jazba

English

jazba

Last Update: 2020-08-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pengine inaweza kueleweka kwa nini jazba zinaweza kupanda sana.

English

perhaps understandably so as tempers are bound to run high.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yalipoibuliwa maswali kuhusu uhalisia wa shahada hiyo, huyo jamaa alijawa na jazba, alivitishia vyombo vya habari na kuonyesha cheti chake hiki.

English

when questions rose on the authenticity of the degree, the guy outraged, threatened the media and produced this to shut them up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa jazba na hali ya kukosa imani, mamia ya wakazi wa jiji la jiangmen waliendelea kuandamana na kuingia siku ya tatu ya maandamano tarehe 14 julai wakitaka kupewa hati maalum ya serikali inayoonesha kusitishwa kwa mradi huu.

English

the government document on the cancellation of the nuclear plant project .with anger and distrust, hundreds of local residents continued to rally on the third day on july 14 demanding a written official document on the cancellation of the project.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

serikali ya canada inasemekana imetoa tamko la jazba leo, ikikanusha upotoshaji wa habari zinazodaiwa kufanywa nayo kwa mujibu wa jarida la wall street likidai kwamba canada imebadili sera yake na itakuwa ikikubaliana na malengo ya kupunguza hewa ya ukaa na kutengeneza mpango kwa ajili ya mfuko wa kukabiliana na tabianchi kwa nchi zinazoendelea.

English

the canadian government supposedly released an angry statement today, denouncing a spoof that supposedly made it as far as the wall street journal claiming that canada had shifted its policy and would be agreeing to greenhouse gas reduction targets and drafting a plan for a climate adaptation fund for developing nations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"kwa kweli nafikiri anaonekana kijana na mrembo, pengine inatokana na tabasamu lake alilotoa wakati wa ziara yake hapa… watu wengine katika kipindi cha maongezi cha televisheni nilichokitaja kabla walisema kwamba watu wa jakarta walijawa jazba za bure kuhusu ziara yake.

English

"i really think that she looks younger and more goodlooking, maybe it was because of her constant smile she gave during her visit here...some people on some boring tv talkshow mentioned previously that jakarta is a little overreacted with her visit.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,642,296,055 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK