Results for jeupe translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

jeupe

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

walipoingia kaburini, walimwona kijana mmoja aliyevaa vazi jeupe, ameketi upande wa kulia; wakashangaa sana.

English

and entering into the sepulchre, they saw a young man sitting on the right side, clothed in a long white garment; and they were affrighted.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wingu jeupe liligubika eneo lote la maegesho na mtu ungeweza kuona mazimwi meupe yakiibuka kutoka kwenye vumbi, kila mmoja akiwa katika mhamaniko mkubwa.

English

a white cloud swept across the parking lot and you could see zombies whitened by dust appearing, in complete panic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakapewa kila mmoja vazi refu jeupe, wakaambiwa wazidi kusubiri kwa muda mfupi, mpaka itakapotimia idadi ya watumishi wenzao na ndugu ambao watawaua kama wao wenyewe walivyouawa.

English

and white robes were given unto every one of them; and it was said unto them, that they should rest yet for a little season, until their fellowservants also and their brethren, that should be killed as they were, should be fulfilled.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nikatazama, na kumbe palikuwapo wingu jeupe hapo. na juu ya wingu hilo kulikuwa na kiumbe kama mtu. alikuwa amevaa taji ya dhahabu kichwani, na kushika mundu mkononi mwake.

English

and i looked, and behold a white cloud, and upon the cloud one sat like unto the son of man, having on his head a golden crown, and in his hand a sharp sickle.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tuliendelea kuendesha kwa muda wa saa moja tukipita katika majengo yaliyoporomoka, watu wakikimbia hovyo, wengine wakilia na kuliitia jina la yesu, wengine wakimwita kwa ishara za mikono, vichwa vikiwa vimejaa vumbi jeupe, wakitazama huku na huko pasipo kuamini yaliyotokea, majeruhi, maiti au vipande vya miili ya watu...

English

we will be driving for an hour between collapsed buildings, people running, weeping and yelling their faith in jesus and calling him with arm signs, heads whitened by dust eying in disbelief, injured people, corpses or bits of them...jean-claude goes on energetically singing his faith during the whole trip.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,765,494,203 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK