Results for jumanne translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

jumanne

English

tuesday

Last Update: 2021-04-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jumanne njema

English

happy tuesday

Last Update: 2021-09-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku ya jumanne nimeuza

English

it's my message for today

Last Update: 2023-12-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

leo ni #jumanne ya kutoa—changia global voices

English

global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

malawi inapiga kura kumchagua rais siku ya jumanne mei 20, 2014.

English

malawi votes for presidential elections tuesday may 20, 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

matangazo rasmi ya uchaguzi huo uliofanyika jumanne bado yanaendelea kutangazwa.

English

the official results of tuesday’s election are still to be announced.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

rais mahinda rajapaksa anategemewa kulihutubia bunge na taifa jumanne asubuhi.

English

president mahinda rajapaksa is scheduled to address parliament and the nation on tuesday morning.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

habari zili zimetokana na tangazo la saudi arabia la kusitisha mashambulizi ya anga dhidi ya yemen mapema jumanne hii.

English

this is not a complete analysis of iran's media landscape. looking at a hardline news sources such as kayhan or vatan emrooz in iran can be likened to looking at fox news in the united states.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hati ya kukamatwa abd el fattah ilitolewa jumanne iliyopita, kufuatia kusambaa kwa vurugu ya waandamanaji mjini cairo.

English

an arrest warrant was issued for abd el fattah this past tuesday, following violent dispersal of protestors in cairo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku ya jumanne, alitoa mamlaka kwa rais erdogan ya kuunda serikali mpya kabla ya chaguzi zinazotarajiwa kufanyika mwezi november.

English

on tuesday, he gave erdogan a mandate to form a new government ahead of elections expected in november.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hapa chini kuna video iliyowekwa kwenye ukurasa wake kuonesha hotuba yake ya kupokea tuzo hiyo kwenye mkutano huo siku ya jumanne iliyopita:

English

below is a video from her acceptance speech at the summit:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, tangu jumanne novemba 6 2012, wananchi wamekuwa wakiandamana na siku kwa siku maandamano hayo yanashika kasi huku idadi ya waandamanaji ikiongezeka.

English

however, since tuesday the 6th of november, citizens have increased the intensity of their protests, with daily numbers up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

3. jumanne (kwa hakika, na siku nyingine zitathibitishwa) baranbara kati ya uwanja wa ndege na katikati ya jiji zitafungwa.

English

3 tuesday (for sure, other days to be confirmed) the road between airport and town centre will be blocked.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

c/mimi ni mwanafunzi wa chuo cha benki kuu mwenye usajili namba... nilikuwa naomba kufanya mitihani ambayo nilikosa kuifanya siku ya jumanne na jumatano ambayo ni...

English

c/i am a central bank college student with registration number... i was applying to take exams that i missed on tuesday and wednesday which are...

Last Update: 2024-04-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya kusalimu amri kutokana na hasira za walio wengi juu ya mashambulizi yanayoendelea dhidi ya wanafunzi wa kihindi nchini australia, siku ya jumanne serikali ilitoa onyo la kuwaasa wanafunzi wanaoelekea australia kwa masomo na kwa wale ambao wako huko tayari.

English

succumbing to popular outrage over continuing attacks on indian students in australia, the government on tuesday issued an advisory warning students heading to australia for studies and those already there.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

barua zao za kujiuzulu zilipokelewa na rais thabo mbeki "ambapo kwa masikitiko makubwa, ilimpasa kuzipokea", ilisema taarifa kutoka ofisi ya rais jumanne iliyopita.

English

their letters of resignation had been received by president thabo mbeki "which, regretfully, he has had to accept", the presidency said in a statement on tuesday.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akmal shaikh, raia wa uingereza aliyeshtakiwa kwa kuingiza mihadarati kinyume cha sheria nchini china, aliuwawa siku ya jumanne japokuwa familia yake pamoja na serikali ya uingereza waliomba adhabu ipunguzwe, wakidai kuwa alikuwa ni mgonjwa wa akili.

English

akmal shaikh, a british citizen convicted of smuggling heroine into china, was executed on tuesday although his families along with the british government had pleaded for reprieve, claiming that he is mentally ill.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kutokana na kuahirishwa kwa uchaguzi, tutakuwa tukizindua kura yetu ya mwisho ya maoni (“nani utampa kura yako tarehe 9 aprili”) siku ya jumanne, aprili 5. #nigeriadecides

English

due to the postponed elections, we'll be launching our final poll ("who will you vote for on april 9″) on tuesday, april 5. #nigeriadecides

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

tangazo! tangazo! tangazo! tungependa kuwajulisha kwamba kutakuwa na nafasi za kazi na ajira kwenye kampuni yetu ya mafunzo inayoitwa (smartbrains) . kampuni yetu inawapa wanafunzi nafasi za kujifunza compiuta kwenye shule zetu. kinacho hitajika ni :- uwe umemalizi kidato cha nne. - uwe miaka 20 kuendela. kujiunga nasi piga nambari (0793474747) mafunzo (training) yatapewa waajiriwa bila malipo yoyote kabla ya kuanza kazi , kaa gangari , usikubali kupitawa na nafasi hii. interviews zitafanyika kwenye kambi za chifu wiki ijayo jumanne( next week tuesday).

English

no query specified. example request: get?q=hello&langpair=en|it

Last Update: 2024-04-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,927,599,369 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK