Results for katuni translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

katuni

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

katuni ya zunar: mpaka tone la mwisho!

English

cartoon zunar: until last drop! pic.twitter.com/caunwhy3xf — zunar cartoonist (@zunarkartunis) april 3, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katuni ya zunar: asilimia 6, asilimia 6!

English

cartoon zunar: 6 percent, 6 percent! pic.twitter.com/zdrwqfatl5 — zunar cartoonist (@zunarkartunis) april 2, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katuni hiyo inakifananisha kipindi cha nne na nepi za mtoto.

English

the caricature compares the fourth mandate to baby diapers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katuni ya zunar: sheria ya uchochezi nchini malaysia

English

cartoon zunar: sedition act ala malaysia pic.twitter.com/gqvz7u4kxf — zunar cartoonist (@zunarkartunis) april 11, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katuni: leo tunatimiza miaka 29 tangu nrm itwae madaraka

English

cartoon: today, marks 29 years since the nrm assumed power. @chrisatuk #nrm29 pic.twitter.com/kf2ivmpdzz — daily monitor (@dailymonitor) january 26, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katuni hii ilisambazwa sana baada ya zunar kukamatwa mwezi huu.

English

this cartoon was widely shared after zunar was arrested this month.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katuni hii kwa mara ya kwanza iliwekwa katika gazeti la mwananchi.

English

originally published in mwananchi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jina lake ni djamel ghanem, na mchora katuni kijana wa kialjeria.

English

his name is djamel ghanem, and he's a young algerian cartoonist.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

iran: wachora katuni 'wamkalia kooni' khatami kwa kupiga kura

English

iran: cartoonists rage against khatami for voting in election · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya katuni za miungu zinasemekana kuwa karibu sana na picha za ngono.

English

some of the cartoons of the gods are said to be very close to pornography.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatua hii ni ya muhimu kwa sababu ndiyo inayoamua mwelekeo wa katuni zangu.

English

this is actually an important step because it will determine the direction of my cartoons.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katuni ya zunar: sheria ya kupambana na ugaidi haina ubinadamu ndani yake!

English

cartoon zunar: poca is inhuman! pic.twitter.com/i9ziejsbzy — zunar cartoonist (@zunarkartunis) april 8, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hakika, rais bouteflika hakutajwa wazi wazi katika katuni hiyo ambayo hata hivyo haikuwa imechapishwa.

English

in fact, president bouteflika is not represented or even directly mentioned in the unpublished cartoon.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kesi ya ghanem ni mfano hai wa namna hali ilivyo ngumu kwa wachora katuni na watu wengine wasioficha maoni yao.

English

ghanem's case is a typical example of how dire the situation is for cartoonists and other people willing to speak up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katuni za zunar kuhusu kupitishwa kwa sheria mpya ya uchochezi ambayo wanaharakati wanaamini itabana uhuru wa maoni mtandaoni:

English

zunar's cartoon about the passage of the new sedition law which activists believe will undermine online dissent:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katuni nyingi za kebehi zilizochapishwa mtandaoni zinaonyesha hasira na kukatishwa tamaa na kiongozi khatami ambaye kipindi fulani alikuwa kipenzi cha watu.

English

several satirical cartoons published on the internet display anger and disappointment with the once popular khatami.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisichofahamika, bila shaka, ni muda uliotumiwa kubuni na katika uundaji wa katuni, na pia upangiliaji wa vifaa vilivyokuwa juu ya meza.

English

what it conceals, most likely, is hours of design and animation work, as well as careful choreographing of the gadgets on the table.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni kwa namna gani ujumbe unaweza kusambaa kupitia katuni ndogo ya mtoto wa kike na kuwa na nguvu kubwa kiasi cha kuweza kudali mitazamo ya watu kwa haraka?

English

how can a message spread by a small cartoon girl be so empowering that it has helped change the society radically?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikahang, ambaye ni mchora katuni anayeongoza na pia mwanablogu, alichukulia kwamba khatami alikuwa amepuuza umwagaji damu uliotokea mwaka 2009 kufuatia maandamano dhidi ya utawala ulio madarakani.

English

nikahang, a leading cartoonist and blogger, considers that khatami ignored the blood shed during the 2009 protest against regime.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mchora katuni wa malaysia anayekabiliwa na mashtaka ya uchochezi ameapa kuendelea kutumia penseli yake kuikosoa serikali kwa ufisadi, ukiukwaji wa haki za binadamu, na matumizi mabaya ya madaraka.

English

a malaysian cartoonist facing several sedition charges has vowed to keep on using his pen to criticize government corruption, human rights violations, and abuses of power.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,771,990,769 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK