Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
inaonekana kwamba sababu rasmi ya kutiwa kizuizini kwa kezarovski kwa siku 30 ni habari aliyoiandika miaka mitano iliyopita kwa ajili ya jarida ambalo halipo tena.
it appears that the official reason for kezarovski's 30-day detention is a story he wrote five years ago for a publication that no longer exists.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"nani anayefuata kufilisiwa?" - bango katika maandamano ya leo ya wandishi wa habari mjini skopje, akimaanisha jina la kificho kwa mpango unaoendelea ("kufilisi"), ambapo mwandishi wa habari kezarovski tomislav alikamatwa pamoja na watu wengine mnamo mei 28.
"who's next for liquidation?" - a poster at today's journalist protest in skopje, referring to the official code name of the operation ("liquidation"), in which journalist tomislav kezarovski was captured along with others on may 28.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting