Results for kibinaadamu translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kibinaadamu

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wakati mgogoro wa kibinaadamu unavyojitokeza nchini sri lanka, jumuia ya kimataifa inabidi itoe tamko wazi na la moja kwa moja.

English

as sri lanka's humanitarian crisis unfolds, the international community must make its message clear and forthright.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pingamizi linaloendela la kutoruhusu mashirika ya misaada ya kibinaadamu kuingia halisaidii kupunguza mashaka juu ya nia ya serikali kwa wakimbizi na makada wa ltte ambao wamesalimu amri.

English

the continued refusal of full access to humanitarian agencies does not allay suspicions about the government's intentions toward the refugees and the ltte cadres who have surrendered.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu yenye jina la madhara kwa raia wakati wa mapambano mjini gaza na kusini mwa israeli imetengenezwa na asaasi za haki za kibinaadamu za kiisraeli ili kuorodhesha matukio ambayo hayaandikwi na vyombo vikubwa vya habari.

English

a blog called harm to civilians during the fighting in gaza and southern israel has been set up by israeli human rights groups to document events that are not being covered by the media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika kipindi hiki ni haja za kibinaadamu opekee ambazo zinafanya kazi, haja ya kuwalinda wale uwapendao, haja ya kuhakikisha unayo malazi na maamuzi ya haraka ya aidha kukimbia au kupigana.

English

at this point, bare human instinct is at work, the need to protect your loved ones, the need to ensure shelter and the instinct of fight or flight.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“hii ni dharura kwani hakuna msaada wowote wa kibinaadamu ambo umeweza kuwafikia wale wanaouhitaji kwa zaidi ya wiki moja’” alisema mkurugenzi wa mipango, pierre krähenbühl.

English

“this is all the more urgent since no humanitarian aid has reached those who need it for over a week,” said director of operations, pierre krähenbühl.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,767,235,782 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK