Results for kibinafsi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kibinafsi

English

Last Update: 2020-10-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kata ya kibinafsi

English

hospital private ward

Last Update: 2024-08-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maisha ya kibinafsi

English

private life

Last Update: 2021-05-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vifaa vya kinga ya kibinafsi

English

personal protective equipment

Last Update: 2024-09-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

uhamasishaji wa kibinafsi katika kiswahili

English

global citizenship in swahili

Last Update: 2024-05-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sehemu ya a: maelezo ya kibinafsi

English

education level

Last Update: 2024-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

gari za kibinafsi zilipigwa marufuku mjini.

English

private vehicle use was banned in the city.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuna sababu zaidi za kibinafsi, za kiuchumi na kisiasa vile vile.

English

there are more selfish reasons, both , economic and political, as well.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hotuba ya rais ilikuwa ya kibinafsi sana, yenye kuongozwa na hisia na isiyoonyesha weledi.

English

the president’s speech was very personal, emotional and uneducated.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

imeelezwa kwamba alikuwa huko saltillo kwa shughuli za kibinafsi, je alikuwa akimfanyia nani kazi huko?

English

he reportedly was in saltillo on personal business, but who was he working for?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

imesababisha pia ukosefu wa vifaa za kujikinga kibinafsi duniani, na who kuonya kuwa hii itahatarisha wafanyakazi wa afya.

English

it has also caused a shortage of personal protective equipment worldwide, with the who warning that this will endanger health workers.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa who, tedros adhanom, hitaji la vifaa vya kujilinda kibinafsi limeongezeka mara 100.

English

according to who director-general tedros adhanom, the demand for personal protection equipment has risen 100-fold.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katik itifaki hizi, data ya kibinafsi inayoweza kutambulika huwa haitoki kwenye kifaa, na ulinganisho wote hufanyika kwenye kifaa.

English

in these protocols, identifiable personal data never leaves the device, and all matching happens on-device.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"mimi ni mwafrika" alihoji kuwa mambo ya hisia za kijinsia ni ya kibinafsi na hayapaswi kuingiliwa:

English

"i am an african" argued that one's ideas of sexuality should not apply to other people's lives:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kuna wale wanaosema kuwa mahusiano hayo yalikuwa ni ya faragha na ya kibinafsi na kwamba hayakuathiri maslahi ya nchi aidha hayakuwa na athari yoyote kwa maisha ya wananchi wa wamarekani.

English

there are some who say that it was a personal and private relationship that did not affect the country's interests or did not have any consequences in the lives of the american citizens.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ukuaji ulio ongezea pato la kuu la mwaka la bara la afrika kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita unaonyesha kwamba ubepari huu wa kimantiki na kibinafsi umejijenga sawia ingawa si kwa usawa barani humu.

English

the growth that fueled the continent's gdp over the past decade indicates that this rational, individualistic capitalism is installed progressively albeit unevenly across the continent.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

karantini ya siku 14, karantini ya kibinafsi, au kipimo cha covid-19 baada ya kuwasili kutoka sehemu nyingine za uchina au kutoka nchi nyingine, kwa gharama yako

English

14-day quarantine, self-quarantine, or covid-19 test upon arrival from other parts of china or from other countries, at your expense

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mahali ambapo hatari za covid-19 haziwezi kukomeshwa, udhibiti zinazofaa zaidi ni za uhandisi, zikifuatiwa na udhibiti za utawala, na mwisho vifaa vya kujikinga kibinafsi.

English

where covid-19 hazards cannot be eliminated, the most effective controls are engineering controls, followed by administrative controls, and lastly personal protective equipment.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa jumla ya umma katika maeneo yaliyoathirika au yaliyo na uwezekano wa kuathirika, inapendekezwa sana kwamba kila mtu aoshe mikono yake kwa kutumia sabuni ya kusafisha nyingi kuliko kawaida, jaribu kukaa nyumbani kwa karantini ya kibinafsi na kupunguza kugusana na watu ambao huenda wameambukizwa.

English

for the general public in affected or potentially affected areas, it is highly suggested that everybody wash their hands with disinfectant soaps more often than usual, try to stay indoors for self-quarantine and limit contact with potentially infected individuals.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati ambapo hivi sasa ni jambo la kawaida kuona blogu nyingi zinazoanzishwa na vijana wanaojadili masuala ya kijamii, ya kiteknolojia au ya kibinafsi, sasa kuna hata pia blogu zenye kubeba ujumbe wa imani ya buda kama vile bodhikaram, saloeurm, khmerbuddhism.

English

while it is now common to see many blogs initiated by young people who discuss social, technological or personal issues, there are now buddhism-themed blogs such as bodhikaram, saloeurm, khmerbuddhism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,949,806,033 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK