From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nilikuwa na maumivu makali mafupi kifuani
i had a short sharp pain in my chest
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ninahisi maumivu kifuani katika sehemu ya mbele ya kifua
i feel a pain in the chest here in the front part of the chest
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
visa vingine nchini uchina vilionyesha mkazo kifuani na mapapatiko wa moyo pekee.
some cases in china initially presented only with chest tightness and palpitations.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
na katikati yake kulikuwa na kitu kama mtu, naye alikuwa amevaa kanzu ndefu na ukanda wa dhahabu kifuani.
and in the midst of the seven candlesticks one like unto the son of man, clothed with a garment down to the foot, and girt about the paps with a golden girdle.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, simameni imara! ukweli uwe kama ukanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani,
stand therefore, having your loins girt about with truth, and having on the breastplate of righteousness;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
nakupenda sana matamani siku moja ndoto yangu iwe kweli nikae na wewe,nilale kifuani pako nile na wewe nioge,nione tabasam lako kwakweli nitafrahi sana unipe mapenzi matamu
Last Update: 2020-11-30
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini sisi ni watu wa mchana na tunapaswa kuwa na kiasi. tunapaswa kuvaa imani na upendo kama vazi la kujikinga kifuani, na tumaini letu la wokovu kama kofia ya chuma.
but let us, who are of the day, be sober, putting on the breastplate of faith and love; and for an helmet, the hope of salvation.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wanasheria wa amina walisema kwamba alikuwa na kifaa hicho kwa sababu ya kujilinda, kufuatia vitisho vya kuuawa alivyopata mwezi machi, baada ya yeye kuwa ameweka picha inayomwonyesha bila nguo kifuani kwenye mtandao wa facebook.
amina's lawyers argued that she had the pepper spray for self-defense reasons, following the death threats she received last march, after she posted topless photographs of herself on facebook.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini ilivyo kawaida -na licha ya kuwepo kwa sheria mbalimbali zinazozuia -wanafunzi hao walikuwa wanakabiliwa na kikosi cha polisi wenye silaha, na kusababisha kifo cha william florian ramirez mwenye umri wa miaka 21, mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa udaktari, aliyepigwa risasi kifuani.
but as is customary—and in spite of different regulations which prohibit it—students were confronted by a unit of armed police, culminating in the death of 21-year-old william florián ramírez , a third-year medical student, hit by a bullet to the chest.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: