From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
chombo cha kichimba aridhi kiitwacho tarimbo
an excavation tool
Last Update: 2020-02-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
picha kwa hisani ya: kikundi cha facebook kiitwacho zambian people's parliament
photo source: zambian people
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
2012 mei: maandamano mjini zanzibari yakihusishwa na kikundi cha kidini kinachodai kujitenga kiitwacho uamsho
2012 may: riots in zanzibar related to uamsho
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nchini ufilipino, kikundi cha wafanyakazi kiitwacho kilusang mayo uno kilikatishwa tamaa na sera za kazi zinazotekelezwa na serikali:
in the philippines, labor group kilusang mayo uno is disappointed with the labor policies of the government:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kony alikuwa kiongozi rasmi wa waasi wa lra mwaka 1988, baada ya kuwaunganisha masalia ya chama kilichokufa cha alice lakwena kiitwacho holy spirit movement.
kony effectively became leader of the lra in 1988, after cobbling it together from the remnants and other dregs of alice lakwena’s defeated holy spirit movement.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kundi la wanazuoni na maprofesa kutoka katika shule hiyo waliandaa video yenye masimulizi ya watu hawa, ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na kituo cha televisheni kiitwacho narco news tv.
a group of scholars and professors from the school produced a video with their stories, which was recently released by narco news tv.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mchungaji wa ki-naijeria esther ibanga akiwa na viongozi wa kiislam mjini jos kutoa mwito wa kurudishwa kwa wasichana wa chibok waliokuwa wametekwa na kikundi cha kigaidi kiitwacho boko haram.
nigerian pastor esther ibanga joined with muslim leaders in the city of jos to call for the return of chibok girls who were kidnapped by the extremist group boko haram.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je, rais anatambua kitu kiitwacho “masurufu yanayotumwa na wananchi waishio nje ya nchi” au basi “kufaidika na wataalamu wa nchi nyingine”?
is the zambian president aware of something called “diaspora remittances” or “brain gain”?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
makala na taarifa hii ya habari iliyoandaliwa na shirin jaafari kwa ajili ya kipindi cha redio kiitwacho the world kwa mara ya kwanza ilionekana kwenye tovuti ya pri.org siku ya tarehe 26 februari 2015, inachapishwa tena chini ya makubaliano ya ushirikiano wa maudhui.
this article and radio report by shirin jaafari for the world originally appeared on pri.org on february 26, 2015, and is republished as part of a content-sharing agreement.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama unatumia simu aina ya iphone na ni miongoni mwa waandamanaji nchini sudani, shusha (download) programu ya ustream kupitia kitendea kazi kiitwacho world#sudanrevolts.
if u are an iphone user & are amongst the protesters in sudan, download ustream thru the app. world. #sudanrevolts.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mwandishi kutoka kwenye chombo cha habari cha mtandaoni kiitwacho novatv, sashka cvetkovska, aliiambia radio free ulaya kwamba walikuwa wamepewa ruhusa na polisi kupiga picha na kuchukua vieo za ghasia hizo, lakini mambo yanaonekana yalibadilika wakati polisi walipoanza kuwakamata waandamanaji:
a journalist from the web portal novatv, sashka cvetkovska, told radio free europe that they had initially been granted a permit by police authorities to take photos and videos of the riots, but things seemed to change when the police started arresting the protesters:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
esther ibanga, mchungaji wa mji wa jos na mwanzilishi wa kikundi kiitwacho wanawake wasio na mipaka, anasema alitegemea dunia ingetazama kwa uzito ugaidi unaofanywa na kikundi cha boko haram kinachochukua mamia, na pengine maelfu ya maisha ya wa-naijeria.
esther ibanga, a pastor in the town of jos and a founder of a group called women without walls, says she would have hoped the world would have paid more attention to the boko haram assault that took hundreds, perhaps thousands of nigerian lives.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: