Results for kijana mpole ni sio kuwa na tabia... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kijana mpole ni sio kuwa na tabia mbaya

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wake zao wanapaswa pia kuwa na tabia njema, wasiowasengenya watu, wenye kiasi na waaminifu katika mambo yote.

English

even so must their wives be grave, not slanderers, sober, faithful in all things.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama baadhi kura za maoni ya hivi karibuni zinaonyesha, 90% ya wa-brazil wanaunga kupunguza umri wa miaka kwa jukumu la jinai, na 61% wanaamini kwamba uhalifu unasababishwa na tabia mbaya za watu.

English

as some recent opinion polls show, 90% of brazilians support the reduction of the age of criminal responsibility, and 61% believe that criminality is caused by people's bad character.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

utafiti wa kuosha mikono katika nchi 54 mnamo 2015 ulitambua kuwa kwa wastani, 38.7% ya nyumba walikuwa wanaosha mikono yao kwa sabuni. utafiti wa 2014 ulionyesha kuwa saudi arabia ilikuwa na kiwango cha juu zaidi cha asilimia 97; marekani karibu katikati na asilimia 77; na uchina na kiwango cha chini zaidi cha asilimia 23.mbinu kadhaa za kubadilisha tabia zipo kwa sasa ili kuongeza tabia ya kuosha mikono kwa sabuni katika nyakati hizi za hatari.kuosha kwa mikono kwa vikundi kwa watoto wa shule katika masaa ya siku yaliyoratibiwa ni mojawapo ya mbinu katika nchi zinazoendelea ili kuwafunza na kuwakumbusha watoto kuwa na tabia ya kuosha mikono yao.

English

a study of hand washing in 54 countries in 2015 found that on average, 38.7% of households practiced hand washing with soap.a 2014 study showed that saudi arabia had the highest rate of 97 percent; the united states near the middle with 77 percent; and china with the lowest rate of 23 percent.several behaviour change methodologies now exist to increase uptake of the behaviour of hand washing with soap at the critical times.group hand washing for school children at set times of the day is one option in developing countries to engrain hand washing in children's behaviors.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,744,166,503 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK