From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lakini wanaweza kunijia wenyewe wakati wa michezo ya mpira wa kikapu au baada ya ziara ya kutembelea maabara ya tarakilishi kuniuliza maswali, kupata huduma na ushauri. ”
but they can discretely drop in on me between basketball games or after a trip to the computer lab to ask questions, access services and get advice.”
kufuatia ushindi wa kishindo kwenye mashindano ya robo fainali (tazama habari zetu ), yaliyofanyika usiku wa jana timu ya mpira wa kikapu ya msumbiji, wanawake, ilishinda nafasi ya kuingia kwenye fainali za mashindano ya afrobasket usiku wa leo dhidi ya washindi watetezi angola.
following a thrilling victory in the quarterfinals (see our coverage), last night the mozambican women's basketball team won a place in the afrobasket finals tonight against reigning champions angola.