Results for kikiwa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kituo cha utafiti cha ste kikiwa chini ya maji

English

ste research camp under water

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila kipindi kikiwa ni tofauti na kingine lakini vikiwa vinafanana kwa kwa maudhui.

English

each one different but related by some themes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kifaa cha kupokelea mtandao wa intaneti kikiwa nchini mali kupitia @mbokoniko kwenye twita

English

parabolic dish in mali via @mbokoniko on twitter

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kifaa cha kutafutia mabaki ya ndege iliyopotea kikiwa bahariniukurasa rasmi wa flickr wa jeshi la majini la marekaniwaziri mkuu wa australia tony abbott hayuko peke yake katika kuusaka umaarufu wa kimataifa.

English

ocean shield deploys the bluefin 21 underwater vehicleofficial u.s. navy flickr page australia’s current prime minister tony abbott is not alone in courting international celebrity status.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maisha ya kila siku yanatupa nafasi kufunga macho yetu na kujifanya kana kwamba hakuna shida.kipindi hiki kinatuletea moja kwa moja kwenye sebule zetu kikiwa na maelezo ya kweli pamoja na tarakimu zake.

English

our daily lives allow us the option of closing our eyes and pretending there is no problem. this show brings it right inside our living rooms, with full facts and figures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ace2 ni protini ya utando wa aina i ya njia moja, kikoa chake kinachotumika cha kumeng'enya kikiwa kwenye sehemu ya juu ya seli katika mapafu na tishu nyingine.

English

ace2 is a single-pass type i membrane protein, with its enzymatically active domain exposed on the surface of cells in lungs and other tissues.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

redio zamaneh (rz) ni chombo huru cha utangazaji kilichosajiliwa kama asasi isiyo ya kiserikali huko uholanzi, kikiwa na studio na makao yake makuu mjini amsterdam.

English

radio zamaneh (rz) is an independent broadcasting organisation, registered as a non-profit organisation in the netherlands, with headquarters and a studio in amsterdam.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikilinganisha na virusi vingine vya rna moja, viwango vilivyokadiriwa vya kubadilika kwa cov vinaweza kuzingatiwa kuwa “wastani” au “juu” huku kiwango cha wastani cha ubadilishanaji kikiwa ~10-4 kwa kila mwaka kwa kila eneo 2, kwa kutegemea awamu ya kuzoeleka kwa cov kwenye mbebaji wake mpya.

English

in comparison to other single-stranded rna viruses, the estimated mutation rates of covs could be regarded as “moderate” to “high” with an average substitution rate being ~10-4 substitution per year per site 2, depending on the phase of cov adaptation to novel hosts.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,034,174 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK