Results for kikomo kimesogezwa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kikomo kimesogezwa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

anga ni kikomo

English

sky is the limit

Last Update: 2023-10-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kiwakilishi kisicho na kikomo

English

indefinite pronoun

Last Update: 2023-11-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na orodha hiyo inaendelea bila kikomo.

English

the list goes endless.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aldi pia ilizindua kikomo cha kifurushi kimoja, siku ya jumatatu.

English

aldi also introduced a one-pack limit, on monday.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika siasa, hakuna kikomo cha kuelewa tofauti kwa kile watu wanachokihitaji.

English

in politics, there is no scope to misunderstand what people want.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dakika ishirini zilizopita, kampeni yetu imefikia kikomo ikiwa na zaidi ya saini 3,600.

English

twenty minutes ago, our petition has officially come to a close with over 3,600 signatures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwandishi wa habari mwandamizi ndimara tegambwage anayeendesha blogu inayojulikana kama uhuru hauna kikomo anaeleza kuhusu jambo hili:

English

senior journalist ndimara tegambwage who blogs at uhuru hauna kikomo writes about the issue:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inawezekanaje kupendekeza hatua kama hiyo katika nchi ambayo haina barabara yoyote, hakuna utawala wa sheria, na rushwa isiyo na kikomo?

English

how can you propose such initiatives in a state where there aren’t even any roads, no rule of law, and endless corruption around?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

… kama pendekezo hili lilianza kufikiriwa kwa sababu ya gharama kubwa za kesi za kubatilisha ndoa, basi ningependekeza muswada wa kupinga ili kuweka kikomo cha gharama za kubatilisha.

English

...if the proposal was conceptualized because of the expensive annulment case proceedings, i would rather propose a counter-bill to put a price cap on the cost of annulment.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uhamiaji usio na kikomo utaharibu maslahi ya taifa (la australia) kwa namna ambazo zimeandikwa na wanazuoni wa uchumi, soshiolojia na fani zinazohusiana nazo.

English

unrestricted migration would harm (australia’s) national interests in ways documented by scholars in economics, sociology and related disciplines.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

macho yao yamejaa uzinzi na uwezo wao wa kutenda dhambi hauna kikomo. huwaongoza watu walio dhaifu mpaka mitegoni. mioyo yao imezoea kuwa na tamaa ya mali. wapo chini ya laana ya mungu!

English

having eyes full of adultery, and that cannot cease from sin; beguiling unstable souls: an heart they have exercised with covetous practices; cursed children:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanasiasa wa uganda wanakuwa kama panzi: "kufuatia hali ya kufikia kikomo kwa tawala nyingi za kiimla, museveni na washirika wake katika ukaliaji wa mabavu wa buganda kwa kutumia silaha wanaanza kuwa kama panzi."

English

ugandan politicians are behaving like grasshoppers: "following the pattern of most dictator regimes coming to an end, museveni and his collaborators in the armed occupation of buganda are starting to behave like grasshoppers."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,744,390,901 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK