Results for kikurdi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kikurdi

English

kurdish

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

na tara fatehi, mwanaharakati wa kikurdi nchini australia, alionyesha hasira yake dhidi ya jumuiya ya kimataifa:

English

and tara fatehi, a kurdish activist in australia, expressed her anger at the international community:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maelfu ya wafungwa wa kisiasa kikurdi wamekuwa katika mgomo wa kutokula nchini uturuki tangu septemba 12 na jumuiya ya kimataifa bado iko kimya.

English

thousands of kurdish political prisoners have been on hunger strike in turkey since sept 12 and the international community remains silent.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@ajstream: kwa nini serikali na vyombo vya habari nchini uturuki wanapuuza mgomo wa kutokula unaofanywa na wafungwa wa kisiasa wa kikurdi 715?

English

@ajstream: why has the government and media in turkey ignored the hunger strikes of 715 kurdish political prisoners?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika maeneo mengi ya kurdistan, kumekuwa na maandamano ya mshikamano lakini licha ya tahadhari zilizotolewa mgomo wa kutokula umepenya katika mikoa ya kikurdi, na kwa kweli kuna vyombo vya habari vikuu vichache vinavyoripoti kuhusu mgomo huo wa kutokula.

English

in much of kurdistan, there has been solidarity protests but despite the attention the hunger strikes have received within kurdish regions, there are few mainstream media outlets reporting on the hunger strike.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tukio hili linakuja kipindi ambacho kumekuwa na mvutano mkali nchini uturuki, kwani rais aliyepo madarakani, reccip tayyip erdogani pamoja na chama cha utafutaji haki (akp) wakiwa wameonesha kwa mara nyingine chuki dhidi ya wanamgambo wa kikurdi waliopo huko kaskazini mwa iraki pamoja na wanamgambo wa dola ya kiislam nchini syria.

English

the incident comes in the midst of heightened tensions in turkey, as sitting president reccip tayyip erdogan and the justice development party (akp) issue new offensives against kurdish militants in northern iraq and the islamic state in syria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,946,784,195 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK