Results for kilima translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kilima

English

mountain

Last Update: 2016-12-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

naishi kilima njaro

English

naishi kilima njaro

Last Update: 2021-06-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pale juu ya kilima niliungana na umati mkubwa katika maadhimisho ya kumbukumbu.

English

at the top of the hill i joined the large crowd at the commemoration ceremony.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kila bonde litafukiwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa; palipopindika patanyooshwa, njia mbaya zitatengenezwa.

English

every valley shall be filled, and every mountain and hill shall be brought low; and the crooked shall be made straight, and the rough ways shall be made smooth;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa juu ya kilima, wakampeleka mpaka kwenye ukingo wa kilima hicho ili wamtupe chini.

English

and rose up, and thrust him out of the city, and led him unto the brow of the hill whereon their city was built, that they might cast him down headlong.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akamwambia: twaa ndege wane na uwazoeshe kwako, kisha uweke juu ya kila kilima sehemu, kisha wete, watakujia mbio.

English

(the lord) said: "trap four birds and tame them, then put each of them on a (separate) hill, and call them, and they will come flying to you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini ili moyo wangu utue. akamwambia: twaa ndege wane na uwazoeshe kwako, kisha uweke juu ya kila kilima sehemu, kisha wete, watakujia mbio.

English

allah said, "take four birds, draw them to you, and cut their bodies to pieces. scatter them over the mountain-tops, then call them back.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mamia ya watu walitembea polepole kwa huzuni kubwa kupitia njia ndefu iliyoelekea kwenye kilima kwenda nyanza, wengi wao walivaa chochote chenye rangi ya zambarau, kitambaa cha begani, kanga, au utepe wa mkononi.

English

hundreds of people trudged up the long hill to nyanza, many of them wearing something purple, a neckscarf, a wrap, even a purple wristband.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akamwambia: twaa ndege wane na uwazoeshe kwako, kisha uweke juu ya kila kilima sehemu, kisha wete, watakujia mbio. na ujue kwamba hakika mwenyezi mungu ni mtukufu mwenye nguvu, na mwenye hikima.

English

(his lord) said: take four of the birds and cause them to incline unto thee, then place a part of them on each hill, then call them, they will come to thee in haste, and know that allah is mighty, wise.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,770,493,478 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK