Results for kilomita translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kilomita

English

kilometer

Last Update: 2012-09-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mtu akikulazimisha kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita mbili.

English

and whosoever shall compel thee to go a mile, go with him twain.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kijiji cha bethania kilikuwa karibu na yerusalemu umbali upatao kilomita tatu.

English

now bethany was nigh unto jerusalem, about fifteen furlongs off:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

tetemeko hilo liliutetemesha mji mkuu wa santiago uliopo kilomita 325 kutoka katika kiini cha tetemeko hilo.

English

the earthquake was felt in the capital city of santiago located 325km from the epicenter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kisha mitume wakarudi yerusalemu kutoka mlima wa mizeituni ulioko karibu kilomita moja kutoka mjini.

English

then returned they unto jerusalem from the mount called olivet, which is from jerusalem a sabbath day's journey.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kitovu kilikuwa kilomita 20 kaskazini ya mji mkuu managua, karibu na volkano ya apoyeque, wa kina cha kilomita 10.

English

the epicenter was located at 20 kilometers north of the capital city managua, close to apoyeque volcano, at 10 kilometers depth.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

siku hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake yesu wakawa wanakwenda katika kijiji kimoja kiitwacho emau, umbali wa kilomita kumi na moja kutoka yerusalemu.

English

and, behold, two of them went that same day to a village called emmaus, which was from jerusalem about threescore furlongs.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

bwawa hilo linalotazamiwa kuongeza uzalishaji wa nishati ya umeme nchi humo litakuwa na ukubwa wa mita za ujazo bilioni 7.250 litakalotunza maji kwa eneo lenye kilomita za mraba 610.

English

the dam is expected to the increase energy production of cameroon with a planned capacity of 7.250 billion cubic meters for a reservoir that will cover 610 km2.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mti wa kihistoria wa ténéré ulikuwa ni wa jamii ya acacia, uliojitenga katikati mwa jangwa, mti wa pekee ulio katika kipenyo cha jangwa cha kilomita 400 sawa na maili 250.

English

the legendary tree of ténéré was an acacia, isolated in the middle of the desert, the only tree for 400 kilometers (250 miles) around.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kundi hilo lilishikiliwa huko nanguneri mnamo tarehe 12 oktoba, kilomita 20 kutoka koodankulam kwa mashitaka ya kuitisha “mikutano isiyo ya halali”.

English

the team was detained at nanguneri on the 12th of october, 20 km away from koodankulam on charges of “illegal assembly”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kesi ya amina tyler, mwanaharakati wa femen raia wa tunisia, ambaye alikamatwa mei 19 baada ya kuchora neno femen kwenye ukuta wa makaburi ya kairouan, kilomita 184 kutoka mji mkuu wa tunis, itaendelea juni 5.

English

the trial of tunisian femen activist amina tyler, who was arrested on may 19 after she graffitied the word femen on the wall of cemetery in kairouan, 184km from the capital tunis, will resume on june 5.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mnamo oktoba, 2015, zaidi ya watu 700 wa jamii ya lumad (raia wazawa kutoka katika kisiwa cha mindanao kilichopo kusini mwa nchi ya ufilipino) walisafiri maelfu ya kilomita ikiwa ni pamoja na kuweka kambi katika jiji la manila kwa lengo la kushinikiza kuondolewa kwa wanajeshi pamoja na kusitisha matumizi ya nguvu za kijeshi katika jamii zao.

English

over 700 lumad (indigenous peoples from the southern philippine island of mindanao) traveled thousands of kilometers and set up protest camps in the nation's capital of manila in october 2015 to demand the removal of troops and paramilitary forces from their communities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,744,172,413 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK