Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ni kukataa ustaarabu wa kimagharibi labda?
a resistance to western civilization may be?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
je, huu ndio uzoefu wa wandishi wa kisomali wanaowasaidia waandishi wa kimagharibi kuhabarisha?
is this a typical experience of somali journalists who assist western journalists with their reporting?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pia alichea kama mshiriki kwenye filamu za kimagharibi kama tinker tailor solider spy na wanted.
he’s also had minor roles in western movies like tinker tailor solider spy and wanted.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anaeleza namna wambukuzi wa kimagharibi wanavyoamua kipi chastahili kubeba uzito habari barani afrika:
he explains how western pundits decide what is newsworthy in africa:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nchini japani, imani kama inavyoeleweka na kuenziwa katika nchi za kimagharibi au kwenye utamaduni wa kiyahudi ni nadra sana.
in japan, spirituality as it is understood and practiced in the west or in the judeo-christian tradition is not common.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zuio hilo lilianza enzi za meiji, wakati japani ikianza kukubaliana na utamaduni na taasisi za kimagharibi kwenye nusu ya pili ya karne ya 19.
the prohibition dates back to the meiji period, when japan adopted western practices and institutions in the latter half of the 19th century.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@ianbirell: hakuna kitu kinachofanana na uelekezaji wa kimagharibi kuhusu kuunga mkono haki za binadamu na kupinga tawala kandamizi na za kimabavu
@ianbirell: there is nothing paternalistic about supporting human rights and opposing repressive & despotic regimes
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini maoni ya ian birell ndani ya muda mfupi yalivuta ghadhabu ya balozi wa rwanda nchini uingereza, erneste rwamucyo, aliyemtuhumu kwa kuwa na mtazamo wa tawala za kimagharibi:
but ian birell's comments immediately attracted the wrath of the rwandan ambassador to the united kingdom, erneste rwamucyo, who accused him of western paternalism:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@ernestrwamucyo: mtazamo huu wa tawala za kimagharibi na “ mtazamo wa kujifanya kujua kila kitu” kuhusu afrika na viongozi wa afrika si mzuri.
@ernestrwamucyo: this paternalism and 'know it all attitude' on africa and african leaders is not good.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ismanto kutoka yogyakarta nchini indonesia anabainisha namna mtindo mpya wa kimagharibi wa kula mikahawani unapunguza tabia ya kula "vyakula vya kufunikwa na plastiki" inayofahamika kama 'angkringan':
an ismanto from yogyakarta in indonesia observes how new western-style cafes are edging out 'plastic tent-covered food carts' known as 'angkringan':
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
aina hii mpya ya kujieleza kimuziki inayosikika katika “new generation” imeleta mtafaruku katika mtandao wa wazi wa tibet huku wanablogu wa tibet wakiwasifu yudrug kwa ujasiri wa mashairi yao lakini baadhi yao pia waliwakosoa yudrug kwa kutumia mtindo ambao ni “wa kimagharibi mno”.
this bold new style of musical expression heard in "new generation" has been quite controversial in tibetan cyberspace, with tibetan bloggers praising yudrug for their outspoken lyrics, but some also criticising yudrug for adopting a style that is seen as “too western”.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting