Results for kimaudhui translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hata hivyo, ingawa wanablogu wa cameroon ni wachache kwa idadi, wana uwezo mkubwa kimaudhui na viwango.

English

however, for what cameroonian bloggers may lack in numbers, they more than make up for in terms of quality.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sahar amekuwa mhimili katika kutengeneza mwongozo wa kimaudhui wa global voices, kuratibu shughuli nyingi za uhariri na kujenga timu imara ya uhariri.

English

sahar has been instrumental in developing global voices' style guides, codifying many of our editorial processes, and building our sub-editing team.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makala haya na taarifa ya redio iliyoandikwa na joyce hackel kwa ajili ya kipindi cha redio kiitwacho the world kilichoonekana kwanza kwenye tovuti ya pri.org mnamo mei 28, 2015, na kimechapishwa hapa kama sehemu ya makubaliano ya ushirikiano wa kimaudhui.

English

this article and radio report by joyce hackel for the world originally appeared on pri.org on may 28, 2015, and is republished here as part of a content-sharing agreement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,931,893,176 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK