Results for kimazingira translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kimazingira

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

alisema kuwa hili sio jambo la kiuchumi au la kimazingira bali serikali ilipotosha vipaumbele, ni kifo cha kujiua kwa guatemala ya kesho.

English

he saids that it is not an economy-environmental issue but rather the government distorted priorities, a suicide for guatemala future.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni filamu bora kabisa na yenye maudhui mazito ya uchunguzi kuhusu udhaifu wa sekta ya uchimbaji wa madini nchini zambia na uharibifu wa kimazingira unaoambatana na shughuli hizo.

English

a powerful documentary on the economic plunder of copper mining in zambia and the associated environmental damage.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi karibuni obama alibadili mtazamo wake, akisema angesitisha miradi yenye hatari kubwa kwa mazingira kama bomba la keystone kama zingeonyesha athari mbaya za kimazingira.

English

recently obama has changed his tune, saying he’d stop dangerous and environmentally disastrous projects like the keystone pipeline if they showed the environmental impact would be negative.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajua marekani ina "rekodi" mbaya kimazingira -mfano sahihi wa namna sheria zinazolinda mazingira hazina uzuri wowote kama zinavyoyaharibu mazingira hayo.

English

we know the us has a poor track record environmentally — a perfect example of how legislation protecting the environment is not nearly as good as not polluting it in the first place.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

makala iliyochapishwa katika mtandao wa mongabay.com imefichua athari za uharibifu wa kimazingira ziazotokana na shughuli za uchimbaji madini katika maeneo ya vijiji nchini indonesia. baadhi ya wanazuoni wanahofia kwamba maeneo mengi nchini indonesia yana kiwango cha juu kabisa cha zebaki duniani.

English

an article published at mongabay.com exposes the destructive environment impact of mining in remote indonesian towns.some scholars fear that "parts of indonesia now have the highest levels of mercury contamination on earth."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ripoti ya matatizo ya kimazingira yanayoathiri uzalishaji wa vyakula utangulizi: mazingira yanacheza jukumu muhimu katika uzalishaji wa vyakula. hata hivyo, katika mazingira yetu nchini, kuna matatizo kadhaa ya kimazingira ambayo yanaweza kuathiri uzalishaji wa vyakula. ripoti hii inalenga kubainisha matatizo hayo na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kuyatatua ili kuhakikisha usalama wa chakula na ustawi wa kilimo. matatizo na mapendekezo: uharibifu wa ardhi: matatizo: uharibifu wa ar

English

report on environmental problems affecting food production introduction: the environment plays an important role in food production. however, in our environment in the country, there are several environmental problems that can affect food production. this report aims to identify these problems and make recommendations on how to address them in order to ensure food security and farm viability. problems and recommendations: land degradation: problems: arthritis

Last Update: 2024-04-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,739,809,578 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK