Results for kinachotokea translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kinachotokea

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kinachotokea

English

what is happened

Last Update: 2024-03-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wote tunafahamu kinachotokea pale unapokimbia na mkasi, sawa?

English

we all know what happens when you run with scissors right?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@ekkymusiq anafikiri kwamba mola ndie mwamuzi wa mwisho kwa kila kinachotokea:

English

@ekkymusiq thinks god has the last decision over everything:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jijini moscow, vladimir putin aliibebesha lawama kyiv kwa chochote kinachotokea ukraine.

English

in moscow, vladimir putin claimed that kyiv is accountable for anything that happens in ukraine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kutokuwepo kwa habari katika vyombo vikuu vya habari kuonyesha kile kinachotokea nchini sudani kunawakera wanaharakati.

English

and the lack of news in mainstream media of what is happening in sudan is annoying activists.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muda mwingi, waandishi waliokuwa mstari wa mbele ndio wanaowajibika kwa mahojiano na kurekodi kile kinachotokea kwenye eneo la tukio.

English

most of the time, the reporters on the front-line are only responsible for interviews and recording what happens onsite.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“kwa kutazama kila kinachotokea sasa hivi, sidhani kama maafisa wetu na mawaziri hawana habari kwamba wanaenda kinyume cha sheria.

English

“given everything that is happening right now, i don’t think our officials and ministers are unaware they are going against the law.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kupatikana kwa mafuta ghana kama hakutashughulikiwa kwa umakini kunaweza kusababisha ghasia zinazofanana na kile kinachotokea naijeria kwenye eneo la delta ya naija lenye vurugu kubwa.

English

ghana’s oil find if not properly managed could spell crisis comparable to what is happening in nigeria’s restive niger delta region.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kusema ukweli, sisi vijana tumepoteza mwelekeo kabisa kuhusu yale tunayojifunza na kile kinachotokea ambacho ni kinyume cha sehemu yetu ile ya ubongo inayoona mambo kabla.

English

honestly we as youths we lost completely no direction what we learn and what is happening contrary to section in our brain act no foresigh

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watumiaji wasiohesabika wa twita wanasema hayo ni matumizi mazuri zaidi ya alama ishara za twita, kuliko ilivyopata kutokea, na hivi sasa niko kwenye mazungumzo kuchapisha kitabu kinachotokea na alama habari ya twita baada ya watu wengi mno kuonyesha nia ya kukinunua ikiwa kitachapishwa.

English

countless tweeters have said it’s the best use of a hashtag on twitter, ever, and i am currently in talks to produce a book based on the hashtag after countless people expressed an interest in buying one.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lyricsoverview lyrics kusikiliza wasanii ilikuwa daima mimi dhidi ya ulimwengu mpaka mimi kupatikana ni mimi dhidi yangu kwa nini, kwa nini, kwa nini, kwa nini? kwa nini, kwa nini, kwa nini? kumbuka tu kwamba kile kinachotokea duniani kinakaa duniani! sisi gon' kuweka katika reverse darling, mimi aliiambia wewe mara nyingi na mimi ni kuwaambia mara nyingine tena tu kuwakumbusha wewe, sweetheart kwamba oh yangu, lamar, hail mary na bangi, nyakati ni ngumu kuomba na hooligans, vivuli wote katika giza ushirika na mapepo na jamaa, mimi ni nyota maisha ni moja funny mo'fucker

English

lyricsoverview lyrics listen artists it was always me versus the world until i found it's me versus me why, why, why, why? why, why, why, why? just remember, what happens on earth stays on earth! we gon' put it in reverse darling, i told you many times and i am telling you once again just to remind you, sweetheart that my oh, lamar, hail mary and marijuana, times is hard pray with the hooligans, shadows all in the dark fellowship with demons and relatives, i'm a star life is one funny mo'fucker

Last Update: 2024-11-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,728,607 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK