Results for kinawapa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kinawapa waandishi wasio wasomali wanaoweza kuwa wanasafiri kwenda somalia ushauri na mawasiliano ya awali.

English

it gives non-somali journalists who may be traveling to somalia with first hand advice and contacts.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

niliandika katika blogu yangu kuwa japokuwa mjadala huu umekuja katika ngwe za mwisho na unashirikisha watumiaji wa huduma ya twita pekee, hii ni hatua kubwa yenye mwelekeo mzuri kwa chama cha anc kwani kinawapa wananchi fursa ya kujadiliana nao moja kwa moja.

English

i responded on my blog, that even though this debate is coming at a very late stage and only engages with users on twitter, it is however a major step in the right direction for the anc as it gives people direct access to the party.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kipindi hicho cha kila wiki cha urefu wa dakika 30, kwa ufadhili wa unfpa, kinawapa wasikilizaji wake dakika 30 za taarifa na mazungumzo kuhusu ngono na masuala ya afya ya uzazi, vyote vikiwa vimelengwa kwa vijana.

English

the weekly 30-minute show, funded in part by unfpa, provides listeners with 30 minutes of information and conversation about sex and reproductive health issues, all tailored toward young people.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,931,160,906 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK