Results for kinyama translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

misri: mauaji ya kinyama ya naga hammady

English

egypt: naga hammady massacre · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mwenyezi mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji.

English

allah created every animal from water.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mauaji ya kinyama ya hivi karibuni katika jos yanathibisha mtazamo huu.

English

the latest massacre in jos attests to this observation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zeinobia aliandika makala mpya kuhusu mauaji hayo ya kinyama katika blogu yake akisema:

English

zeinobia wrote a new post about the massacre in her blog saying:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika waliokamatwa alikuwepo blanca hernández moya , ajuza wa miaka 75, aliyeteseka kwa kipigo cha kinyama akiwa mikononi mwa polisi…

English

among those arrested was 75 year-old blanca hernández moya, who suffered physical attacks at the hands of police agents...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

familia za wahanga zilikataa kuzika miili ya ndugu zao na wametangaza kuwa wataendelea na maandamano ya kupinga unyanyasaji wa kikabila hadi hapo jeshi litakapochukua hatua ya kukomesha mauaji haya ya kinyama.

English

the families of the victims have refused to bury their dead and have announced that they will continue a sit-in unless the army takes action against the killing sprees.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"wanaweza kuhukumiwa kwa kutumia ushahidi wa "kukiri" unaopatikana kwa kuwatesa au vitendo vingine vya kinyama."

English

"they may be convicted solely on the basis of 'confessions' obtained under torture or other ill-treatment."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na mwenyezi mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji. wengine katika wao huenda kwa matumbo yao, na wengine huenda kwa miguu miwili, na wengine huenda kwa miguu mine.

English

allah hath created every moving creature of water; of them is one that walketh upon his belly. and of them is one that walketh upon its two feet; and of them is one that walketh upon four.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikiwa nimebanwa katikati ya mabalozi wawili, nilisikiliza maelezo binafsi ya watu walionusurika katika mauaji yaliyotendeka mahali hapo tulipoketi, na hakukuwa na hata mtu mmoja wa kuwatetea dhidi ya mashambulizi ya kinyama ya wanamgambo.

English

wedged between two ambassadors, i heard heart breaking accounts from survivors of the massacre which took place on the site where we were seated, with no one to protect them against the brutal attacks of the militia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya masaa machache, barabara ya almadar, makazi muhimu ya watu wa shia hazara, ilishuhudiwa mauaji makubwa ya kinyama, na tena kwa kutumia mbinu ileile iliyotumika kwenye mlipuko wa asubuhi.

English

after an interval of only few hours alamdar road, a majorly shia hazara people territory, witnessed another mass massacre, still the same tactic as in the morning -bomb blast.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hazem barakat aliandaa waraka wa tukio hili la kinyama, aliweka picha za watu walioonekana kutokwa na damu nyingi pamoja na kuweka video inayoonesha shambulio hili (warning: graphic video) mtandaoni.

English

hazem barakat documented the crime, sharing bloodied photographs and a video of the attack (warning: graphic video) online.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,888,723,219 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK