From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kama ilivyotokea kwenye kuzama kwa kivuko cha sewol, nahodha wa meli alikimbia.
just like how in the sinking ferry sewol, the ship's captain escaped first.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zimetimia siku 14 tangu kivuko cha korea kusini kizame kikiwa na abiria mamia kadhaa.
it's been 14 days since a south korean ferry capsized with several hundred people on board.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
utepe wa njano ukiwa umefungwa katika mtaa wa seoul kwa matarajio ya muujiza wa janga la kivuko cha sewol.
yellow ribbons tied along a seoul street in the hope of miracles following the sewol ferry disaster.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
polizi hivi sasa wanamchunguza mwandishi aliyeandika kwenye mtandao wa facebook kwamba "janga la kivuko cha sewol ni tukio lililotengenezwa na vibaraka wa korea kaskazini wanaotaka kutengeneza mazingira ya hali ya sintofahamu na tahayaruki katika jamii ya korea kusini. "
and police are now investigating a writer who wrote on facebook that the "sewol ferry disaster is a scene directed by pro-north korean sympathizers who want to spread confusion and chaos in south korean society."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.