From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kauli yetu kwa kitu tunacho kitaka kiwe, ni kukiambia: kuwa! basi kinakuwa.
(as for the possibility of resurrection, bear in mind that) whenever we do will something, we have to do no more than say: "be", and it is.
tuteremshia chakula kutoka mbinguni ili kiwe sikukuu kwa ajili ya wa mwanzo wetu na wa mwisho wetu, na kiwe ni ishara itokayo kwako.
send down for us a table spread with food from heaven, so that it may be a feast for us, for the first of us and for the last of us: a sign from you.
na hichi ni kitabu cha kusadikisha na kilicho kuja kwa lugha ya kiarabu, ili kiwaonye walio dhulumu, na kiwe ni bishara kwa watendao mema.
and this a book confirming it, in arabic speech, that it may warn those who have done wrong and as glad tidings unto the well-doers.
barabara kuu ni lazima zijengwe ili kuhimili hali yoyote ya hewa, kwa maana kwamba kiwango ambacho barabara hizo zitajengwa ni lazima kiwe ni kiwango cha kitachakowa juu ya kima chochote cha mafuriko.
the main trunk roads should be built to be weather-proof, meaning the level to which they must be constructed must be above the highest known flood level.
kitabu kilicho teremshwa kwako - basi isiwe dhiki kifuani kwako kwa ajili yake, upate kuonya kwacho, na kiwe ni ukumbusho kwa waumini.
(it is) a scripture that is revealed unto thee (muhammad) - so let there be no heaviness in thy heart therefrom - that thou mayst warn thereby, and (it is) a reminder unto believers.
akasema isa bin maryamu: ewe mwenyezi mungu, mola mlezi wetu! tuteremshia chakula kutoka mbinguni ili kiwe sikukuu kwa ajili ya wa mwanzo wetu na wa mwisho wetu, na kiwe ni ishara itokayo kwako.
'allah, our lord' said (prophet) jesus, the son of mary, 'send down upon us a table out of heaven, that shall be a festival for us the first and the last of us and a sign from you.