Results for kuadhibu kwa fimbo translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kuadhibu kwa fimbo

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

tulimletea wahyi musa tukamwambia: piga bahari kwa fimbo yako.

English

moses said, "certainly not.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na tulimfunulia musa walipo muomba maji watu wake kumwambia: lipige hilo jiwe kwa fimbo yako.

English

and we inspired moses, when his people asked him for something to drink: “strike the rock with your staff.”

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na musa alipo omba maji kwa ajili ya watu wake, tulimwambia: lipige jiwe kwa fimbo yako.

English

and (remember) when musa (moses) asked for water for his people, we said: "strike the stone with your stick."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

tulimletea wahyi musa tukamwambia: piga bahari kwa fimbo yako. basi ikatengana, na kila sehemu ikawa kama mlima mkubwa.

English

so we sent the divine revelation to moosa that, “strike the sea with your staff”; thereupon the sea parted; so each part was like a huge mountain.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naam, nitawapa uwezo uleule nilioupokea kwa baba: yaani, watayatawala mataifa kwa fimbo ya chuma na kuyavunjavunja kama chombo cha udongo.

English

and he shall rule them with a rod of iron; as the vessels of a potter shall they be broken to shivers: even as i received of my father.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na tuliwagawanya katika makabila kumi na mbili, mataifa mbali mbali. na tulimfunulia musa walipo muomba maji watu wake kumwambia: lipige hilo jiwe kwa fimbo yako.

English

we divided the descendants of israel into twelve tribes and told moses to strike the rock with his staff to let twelve fountains gush out therefrom; his people had asked him to supply them with water.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na tulimfunulia musa walipo muomba maji watu wake kumwambia: lipige hilo jiwe kwa fimbo yako. mara zikatibuka humo chemchem kumi na mbili, na kila watu wakajua mahali pao pa kunywea.

English

and we divided them into twelve tribes, as nations; and we revealed to musa when his people asked him for water: strike the rock with your staff, so outnowed from it twelve springs; each tribe knew its drinking place; and we made the clouds to give shade over them and we sent to them manna and quails: eat of the good things we have given you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

upanga mkali hutoka kinywani mwake, na kwa upanga huo atawashinda mataifa. yeye ndiye atakayetawala kwa fimbo ya chuma na kuikamua divai katika chombo cha kukamulia zabibu za ghadhabu kuu ya mungu mwenye uwezo.

English

and out of his mouth goeth a sharp sword, that with it he should smite the nations: and he shall rule them with a rod of iron: and he treadeth the winepress of the fierceness and wrath of almighty god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na musa alipo omba maji kwa ajili ya watu wake, tulimwambia: lipige jiwe kwa fimbo yako. mara zikatimbuka chemchem kumi na mbili; kila kabila ikajua mahali pake pa kunywea.

English

(remember) when moses prayed for water for his nation, we said to him: 'strike the rock with your staff' thereupon twelve springs gushed from it, and each tribe knew their drinking place.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,800,368,453 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK