Results for kuadhimisha translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kuadhimisha

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kuadhimisha siku ya malala

English

celebrating malala day

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

video zifuatazo ni moja ya makala mengi ya vyombo vya habari kuadhimisha miaka :

English

the following video is one of the many media productions commemorating the anniversary :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jifunze zaidi kuhusiana na tukio hili, na jiandikishe hapa ili kuwa sehemu ya mkutano huu wa kuadhimisha miaka kumi.

English

learn more about the event, and register here to be part of our exciting 10th anniversary summit.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya kumbukumbu za tahrir diaries iliweka video hii kwenye mtandao wa youtube kuadhimisha siku 100 ya kukamatwa kwa abd el fattah.

English

tahrir diaries posted this video on youtube to make the 100th day anniversary of abd el fattah's arrest.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkurugenzi wa sauti zinazokua, david sasaki ameandika kumbukumbu ya kuvutia kwa ajili ya siku ya kuadhimisha miaka mitano ya global voices.

English

rising voices director david sasaki has written a lovely retrospective for global voices' fifth birthday.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku hiyo imetengwa kuwa siku ya ukombozi kuadhimisha siku ambayo chama cha nrm kilitwaa madaraka baada ya mapambano ya miaka mitano msituni kuiondoa serikali kandamizi madarakani.

English

this day was set apart as the liberation day to mark the day nrm took over power after a five-year armed struggle against repressive governments.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

rangi ya zambarau ni alama ya maombolezo nchini rwanda na jana tarehe 7 aprili, ilikuwa siku ya kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu mauaji ya kimbari.

English

the colour purple is the colour of mourning in rwanda and yesterday, 7th april, was the 15th anniversary of the genocide.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi karibuni zilifanyika sherehe za kitaifa nchini rwanda kuadhimisha kumbukumbu ya kutimiza miaka 15 tangu mauaji ya kimbari. mauaji hayo yaliangamiza maisha ya watu wapatao 800,000.

English

today marks the end of a week of national mourning in rwanda to mark 15 years since the genocide which killed 800,000 people.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni sawa na kusema katika siku ya kwanza ya kuadhimisha miaka 10 ya ndoa; mtu aliye kwenye ndoa anaweza kufanya chochote atakacho bila ya kujali wajibu wao na na uaminifu kwa familia zao.

English

it’s like saying on the 1st day after the 10th year of marriage; a married person could do anything they want without regarding their responsibility and loyalty to their family.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika kuadhimisha mwaka mmoja baada ya kufungwa kiuonevu kwa alaa, marafiki na watetezi wake walibadili picha zao za wasifu kwenye mitandao ya kijamii na kuweka mabango ya 'alaa aachiwe huru'

English

friends and supporters changed their avatars on social media to this free alaa poster today to protest the first anniversary of his unfair imprisonment

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika kuadhimisha mwaka mmoja tangu kufungwa kwake, katika majukwaa ya kijamii, watumiaji wa mtandao duniani kote walibadili picha zao za wasifu na kutumia picha ya abd el fattah ili kuongeza uelewa wa watu kuhusu masaibu ya alaa pamoja na wafungwa wengine wa kisiasa nchini misri.

English

to mark the anniversary, netizens from around the world changed their avatars to abd el fattah's infamous picture on social media platforms to draw attention to his plight and that of thousands of other political prisoners in egypt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa gazeti la south china morning post, pu amekamatwa kama mhalifu na plisi wa beijing baada ya kuwa amehudhuria mkutano wa kuadhimisha kuminywa kwa demokrasia pamoja na "kurudusu maana na matokeo yake na kutoa wito wa uchunguzi wa kina kuhusu ukweli wa yaliyotokea siku ya juni 4.’’

English

according to newspaper south china morning post, pu had been criminally detained by beijing police after attending a meeting to commemorate the 1989 crackdown on democracy as well as "explore its implications and consequences and call for an investigation into the truth of june 4.’’

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,747,295,003 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK