From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mazao ya biashara
commodity crops
Last Update: 2022-05-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ukuaji hafifu wa mazao
pastoralist disregarding by village boundaries
Last Update: 2023-03-15
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuanika nguo kwa kamba zikauke
kuanika
Last Update: 2022-09-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
naye alikuwa na mazao mengi.
and he had fruit.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dawa ya kuuwa wadudu kwenye mazao
insecticide killed on crops
Last Update: 2022-10-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
msumbiji: kifo cha mradi mkubwa wa mazao nishati
mozambique: demise of a massive biofuels project · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani.
and the fruit of righteousness is sown in peace of them that make peace.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kisha akaomba tena, mvua ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake.
and he prayed again, and the heaven gave rain, and the earth brought forth her fruit.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hadi sasa tumeweza kuwasajili wakulima milioni 4.2 na pia wafanyabiashara wa mazao ya kilimo 900.
to date we have registered 4.2 million farmers and about 900 agro dealers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sekta ya kilimo nchini zambia inategemea sana mahindi, ukiachilia mbali mazao mengine na mifugo.
zambia’s agriculture sector revolves around maize, never mind the growing of other crops and livestock.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakika tumewajaribu hawa kama tulivyo wajaribu wale wenye shamba, walipo apa kwamba watayavuna mazao yake itakapo kuwa asubuhi.
indeed we have tested them just as we tested the people of the garden when they vowed they would gather its fruit at dawn,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na hivyo vitalu viwili vikitoa mazao yake, wala hapana kitu katika hayo kilicho tindikia. na ndani yake tukapasua mito.
and a stream flowing through the middle of the gardens.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baada ya kumaliza chuo nilipata internship ya kwenda israel na kuanza kufanya kazi kwa vitendo kama kuzalisha mazao mbalimbali na nimepata ujuzi wakutosha
i completed my college education in 2022 at the undergraduate level
Last Update: 2023-12-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
inakadiriwa kuwa kuna wabrazili 5,000 waliosajiliwa nchini angola haswa wanaojishughulisha na masuala ya ujenzi, uchimbaji madini na biashara za mazao ya kilimo.
there are an estimated 5,000 brazilians registered in angola, mainly working for construction, mining and agribusiness companies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jamii, ambazo nyingi ni zile za miliamni au majirani zao, zimekuwa zikitegemea miti na mazao mengine ya asili kutoka porini katika kujikinga au kujitibu magonjwa yao.
the communities, characteristically living in the mountains or their fringes, have depended mostly on plants and other natural products from the forest to prevent or treat sickness.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakulima wanasema kwamba mazao yao mengi yamezuiliwa kwenye maghala kutokana na kusitishwa kwa ununuzi, na kuna hofu ya kupungua kwa uuzwaji wa matunda kuelekea nchi kama vile jordan, uingereza na nchi za skandinavia.
farmers say much of their produce is being held in warehouses due to canceled orders, and fear a sharp decrease in fruit exports to countries such as jordan, britain, and the scandinavian countries.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika wakati mmoja, mapato lazima yaelekezwe kwenye miundo mbinu ya vijijini, kuongeza bei za mazao ya mashambani na kuendeleza viwanda vya kusindika mazao, katika kipimo ambacho hakikuwahi kujaribiwa kabla.
at the same time, revenue must urgently be directed to rural infrastructure, to increasing farm prices and developing agro-processing industry, on a scale not previously attempted.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tumetengeneza jukwaa la kielektroniki (mkoba-pepe) ambako tuliwasajili wakulima na wafanyabiashara wa mazao ya kilimo wanaomiliki maduka yanayouza pembejeo za kilimo kote nchini.
we created an electronic platform (e-wallet) on which we registered farmers and agro dealers who own shops that sell farm inputs all over the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je! yupo mmoja wenu anaye penda kuwa na kitalu cha mitende na mizabibu ipitayo mito kati yake, naye humo hupata mazao ya kila namna, na uzee ukamfikia naye hali ana watoto wanyonge, kikapigwa na kimbunga chenye moto, kikaungua?
does any of you wish that he should have a garden with date-palms and vines and streams flowing underneath, and all kinds of fruit, while he is stricken with old age, and his children are not strong (enough to look after themselves)- that it should be caught in a whirlwind, with fire therein, and be burnt up?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: