Results for kubomoa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kubomoa nywele

English

unravel the hair

Last Update: 2021-07-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na kubomoa kila kizuizi cha majivuno kilichowekwa kuipinga elimu ya mungu; tunaziteka fikira zote na kuzifanya zimtii kristo.

English

casting down imaginations, and every high thing that exalteth itself against the knowledge of god, and bringing into captivity every thought to the obedience of christ;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"bwana, wamewaua manabii wako na kubomoa madhabahu yako. ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka kuniua?"

English

lord, they have killed thy prophets, and digged down thine altars; and i am left alone, and they seek my life.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule uwezo aliotupa--uwezo wa kuwajenga na sio wa kubomoa--hata hivyo sijutii hata kidogo.

English

for though i should boast somewhat more of our authority, which the lord hath given us for edification, and not for your destruction, i should not be ashamed:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

“miaka ya migogoro hapa iliharibu mfumo wetu wa zamani wa elimu na kubomoa huduma za afya ndio maana vijana leo wanajua kidogo sana kuhusu vvu/ukimwi.

English

“years of conflict here disrupted our formal schooling system and broke up health services so that youths today know very little about hiv and aids.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi, ninaandika barua hii nikiwa mbali, ili nitakapofika kwenu nisilazimike kuwa mkali kwenu kwa kutumia ule uwezo alionipa bwana; naam, uwezo wa kujenga na si wa kubomoa.

English

therefore i write these things being absent, lest being present i should use sharpness, according to the power which the lord hath given me to edification, and not to destruction.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,906,631,421 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK