From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kubwa kuliko
greater is he in me than him in the world
Last Update: 2024-10-23
Usage Frequency: 1
Quality:
zaidi, hali hii inaleta hatari kwa afya ya mama, hatari kubwa kuliko kawaida.
furthermore, the phenomenon embodies a risk for the mother’s health, running a greater danger than the average.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na makaazi mema katika bustani za kudumu, na radhi za mwenyezi mungu ndio kubwa kuliko yote.
goodly mansions in the gardens of eden, and the pleasure from allah which is greater.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
kubwa kuliko yote, tumejifunza kuwa taifa lililo kithiri kwa uminywaji wa haki ndilo adui nambari moja kwa raia wanaofuata sheria.
more than anything, we have learned that a nation which is rampant with injustice is the foremost enemy of its law abiding citizens.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na makaazi mema katika bustani za kudumu, na radhi za mwenyezi mungu ndio kubwa kuliko yote. huko ndiko kufuzu kukubwa.
but the greatest bliss is the good pleasure of allah: that is the supreme felicity.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
tangu habari za kifo chake zifahamike, wanaijeria wamekuwa wakiadhimisha maisha yake na nyakati za mtu huyo anayesemekana kuwa tunu kubwa kuliko zote kwa mwanadamu ambayo afrika imewahi kujaaliwa.
since the news of his death broke, nigerians have been celebrating the life and times of the man some call africa's greatest gift to humanity.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
haitakulinda dhidi ya virusi vya korona, lakini itakulinda kiasi dhidi ya mafua, ambayo bado ni hatari kubwa kuliko covid-19 katika maeneo mengi.
it won't protect you from the coronavirus, but it will partially protect you from the flu, which remains a greater risk than covid-19 in many areas.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
mwenyezi mungu amewaahidi waumini wanaume na waumini wanawake bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. na makaazi mema katika bustani za kudumu, na radhi za mwenyezi mungu ndio kubwa kuliko yote.
allah has promised the believing men and believing women gardens beneath which rivers flow, wherein they abide eternally, and pleasant dwellings in gardens of perpetual residence; but approval from allah is greater.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
idadi ya wanawake kwenye bunge la rwanda, ni asilimia 64, ambayo ni idadi kubwa kuliko kwenye mabunge mengine duniani, kwa mujibu wa orodha ya 2014 ya umoja wa mabunge katika nchi 189.
the percentage of women in the rwandan parliament, at almost 64 percent, is the highest in the world, according to the inter-parliamentary union's 2014 ranking of 189 countries.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vile vile (adeyepo) ni mchungaji kiongozi wa kanisa liitwalo faith tabernacle (kanisa la imani) linalomiliki jengo kubwa lenye uwezo wa kubeba watu waliokaa wapatao 50,000 kwa mara moja, likidhaniwa kuwa kubwa kuliko makanisa yote duniani kwa mujibu wa kitabu cha kumbukumbu cha guinesss. mtandao wa makanisa ya “winners chapel” umeenea katika majiji zaidi 300 katika majimbo yote ya naijeria, pia katika majiji zaidi ya 63 katika mataifa ya afrika, dubai, uingereza na marekani.
he is also the senior pastor of faith tabernacle, a 50,000 seat church auditorium reputed to be the largest church auditorium in the world by the guinness book of records.the winners chapel network of churches is present in over 300 cities in all states of nigeria, as well as in over 63 cities in 32 african nations, dubai, the united kingdom and the united states of america.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: