Results for kuelimisha translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kuelimisha

English

educar

Last Update: 2021-02-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuelimisha watu zaidi

English

tax exemption

Last Update: 2023-11-26
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

makapuni ya simu yameanza kutuma ujumbe wa kuelimisha wateja wao kuhusu ebola.

English

mobile phone companies have started sending ebola related messages to subscribers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nembo la kampeni ya #ebolafreegambia inayolenga kuelimisha watu kukabiliana na maradhi ya ebola.

English

the logo of #ebolafreegambia campaign.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

muhtasari wa historia ya ugunduzi wa hcov katika utaratibu wa muda (jedwali la 1) unaweza kuwa wa kuelimisha na kuelekeza.

English

a brief summary of the history of hcov discovery in chronological order (table ​1) would be informative and instructive.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mahojiano mafupi ya video kuhusu mashindano yaliyoandaliwa na timu ya mpira wa miguu ya refugee vi soccer ynakusudia kuelimisha umma juu ya suala la ubaguzi dhidi ya wageni nchini afrika kusini.

English

a short video interview about the tournament organized by the refugee vi soccer team is to raise awareness about the issue of xenophobia in south africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alhamisi tarehe 25 machi 2010, mamia ya watu katika miji mingi duniani pamoja na accra watakutanika nje ya mtandao na kukusanya nguvu kwa ajili ya jambo muhimu la elimu kwa kuandaa matukio ya kufurahisha na kuelimisha umma.

English

on thursday 25 march 2010, people in hundreds of cities around the world including accra will come together offline to rally around the important cause of education by hosting local events to have fun and create awareness.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini wanafanya zaidi ya ya kuelimisha umma, patrick, mwanablogu kutoka tamatave, amekuwa akipanda miti katika eneo la toasmasina na amehusisha jumuiya nyingi katika mchakato huu:

English

but they do more than just raising awareness, patrick, a blogger from tamatave, has been steadily replanting trees in the toamasina region and involved many other associations in this process:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vijana wadogo wa miaka 20 wanakamatwa na kufungwa gerezani kwa "ugaidi" kwa kisa tu cha kuelimisha watu kupitia mtandao wa facebook pamoja na kutoa maoni yao kupitia mitandao ya kijamii.

English

young men and women barely in their 20s are arrested and jailed for “terrorism” merely for blogging on facebook and speaking their minds on other social media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ukiwasha luninga yako na kipokea satelaiti nchini tunisia unaweza kutazama aljazeera, aljazeera idhaa ya kiingereza, aljazeera kwa watoto, aljazeera idhaa ya filamu za kuelimisha, aljazeera live, aljazeera michezo siku nzima.

English

you switch on your tv and satellite receiver in tunisia and you can watch aljazeera, aljazeera english, aljazeera children, aljazeera documentary, aljazeera live, aljazeera sport all day.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aliporejea rwanda mwaka 2010, alianzisha mfuko wa amani wa kizito mihigo, azise inayotumia sanaa (muziki, maonyesho, ushairi...) kuelimisha kuhusu amani, maridhiano na kuepuka matumizi ya nguvu baada ya mauaji ya kimbari.

English

upon his return to rwanda in 2010, he founded the kmp foundation (kizito mihigo for peace), a rwandan ngo that uses art (music, theater, poetry...) in education focused on peace, reconciliation and non-violence after the genocide.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,783,330,740 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK