Results for kuepuka translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kuepuka

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ninaandika ili kuepuka wehu.

English

i write to stay sane.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama hiyo ni kweli, basi hawawezi kusamehewa wala kuepuka adhabu.

English

if that is true, then they can't be forgiven nor escape punishment.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hatuwezi kusema kuwa tunaweza kuepuka uchujwaji wa habari.

English

but we cannot say that we can evade filtering.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

serikali za marekani na canada zinapendekeza kuepuka kusafiri kwa meli ya abiria.

English

the u.s. and canadian governments recommend avoiding travel by cruise ship.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa ni vigumu kuepuka kugusana, basi nawa mikono yako kabla na baadaye.

English

if it's impossible to avoid contact, then wash your hands both before and after.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuepuka kifo huku kwa miujiza kwa begum kuliibua hisia kali miongoni mwa wtu wengi.

English

begum's miraculous survival has caused a stir among many.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfumo unapaswa kudumishwa ili kuepuka kuundwa kwa hali ya kutegemewa katika watu ambao wanakuwa marais.

English

the status quo should be maintained to avoid creating an aura of indispensability around individuals who become president.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

th mwathirika wa ajali lazima alikuwa hit gari yake kwa chuo wakati yeye alijaribu kuepuka kupata hit na baiskeli ya harak

English

the  victim of the crash must have been hit her car to the campus while she tried to avoid getting hit by a fast bike

Last Update: 2024-02-20
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

@egypresidency: rais morsy anamsihi kila mtu kutunza amani na kuepuka kumwaga damu ya mwananchi mwenzake.

English

@egypresidency: pres. morsy urges everyone to adhere to peacefulness and avoid shedding blood of fellow countrymen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchi zingine zilitumia ufuatiliaji wa eneo unaotegemea mtandao badala ya programu, ikiondoa hitaji ya kupakua programu na uwezo na kuepuka kutafuta.

English

some countries used network-based location tracking instead of apps, eliminating both the need to download an app and the ability to avoid tracking.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatua ambazo unahimizwa kuchukua zinajumuisha kufanya kazi nyumbani ikiwezekana, kuepuka maeneo yenye watu wengi na kuepuka kutoka nyumbani ispokuwa iwe inahitajika kabisa.

English

measures you are encouraged to take include working from home whenever possible, avoiding crowds and avoiding leaving your home unless absolutely necessary.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kulingana na hali ilivyo, hakuna vitu vingi unavyokosa kwa kukaa nyumbani, kwa kuwa vivutio vingi duniani vimefunga milango yao ili kuepuka kueneza ugonjwa huu.

English

as it happens, you probably aren't missing much by staying home, as many attractions around the world are closing their doors to avoid spreading the disease.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

unapaswa kuepuka tabia ya kujigawia chakula kutoka kwa sahani moja kwa kutumia vijiti vyako mwenyewe vya kulia, jambo la kawaida sana uchina. inapaswa kuepukwa.

English

the practice of serving yourself from a common plate with your own chopsticks, common in china, should be avoided.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ili kuepuka mashitaka ya kuingilia haki miliko, ni kawaida kwa google (mmiliki wa youtube) kuondoa video zinazodaiwa kuingilia haki miliki.

English

in order to avoid copyright infringement suits, the general practice at google (owner of youtube) is to remove such videos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mfano, wauzaji hawauzi tiketi kutoka uchina hadi marekani (hiyo ni kwa sababu ya kuepuka kukiuka vikwazo na kushindwa kupata ndege ya abiria ya kutoka)

English

for instance, most aggregators are not selling tickets from china to the united states (presumably to avoid falling afoul of restrictions and being on the hook for a passenger's flight out).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shirika la afya duniani na vituo vya kudhibiti na kuzuia ugonjwa huko marekani hushauri wanawake wajawazito kufanya mambo sawa kama umma kwa ujumla ili kuzuia maambukizo, kama vile kujifuka ukikohoa, kuepuka kutangamana na watu wagonjwa, kusafisha mikono kwa kutumia sabuni na maji au kisafisha mikono chenye kileo cha kuua viini.

English

the world health organization and centers for disease control and prevention of the united states advises pregnant women to do the same things as the general public to avoid infection, such as covering cough, avoid interacting with sick people, cleaning hands with soap and water or sanitizer.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari za asubuhi mpenzi wangu.. sweetheart naelewa kulinda moyo♥. nilipendana nawe papo hapo. sikuwa na hisia hii kwa muda mrefu sana. ninapenda jinsi ulivyonifanya nijisikie ndani. tunashiriki mioyo yetu na kuweka nadhiri ya kulinda. najua wewe ni kusita kuishi na mimi na naweza kuelewa. hata maili nyingi mbali na moyo wangu hakuna anayejua tofauti. wakati mwingine unanifanya nijisikie sawa na wewe. katika akili yangu nimefanya upendo laini, tamu na mpole kwako. mimi kujaribu kuepuka hisia hii lakini anaendelea kuja nyuma.

English

good morning my love.. sweetheart i understand protecting the heart ♥. i fell in love with you instantly. i hadn't had this feeling for such a long time. i love the way you made me feel inside. we share our hearts and vow to protect. i know you're hesitant to live me and i can understand. even many miles away my heart knows no different. sometimes you make me feel right there with you. in my mind i've made soft sweet gentle love to you. i try avoiding this feeling but it keeps coming back. i w

Last Update: 2022-05-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,793,192,223 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK