Results for kufyatua matofali translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kufyatua matofali

English

breaking bric k

Last Update: 2020-10-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

machafuko yalipoanza na wananchi walijaribu kukimbia eneo hilo wakati kikosi cha fir kikiendelea kufyatua risasi.

English

"unrest set in and citizens tried to flee in disarray while fir agents kept shooting. "

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

walitaka kuuambia ulimwengu kuwa tupo hapa, ndani, tumezuiwa kimwili tu kwa kuta za matofali na chuma.

English

they wanted to tell the world that they are here, inside, locked up only physically within concrete and iron.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ugomvi mdogo ulizuka, ambao kwa mujibu wa mashahidi, ulisababisha mlinzi kufyatua risasi ambayo iliwapiga wanafunzi watatu.

English

a brief commotion ensued, which, according to eyewitnesses, compelled the guard to fire the bullet that hit the three students.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inahitaji mtungi au tanki ambalo linaweza kutengenezwa kwa beleshi nap engine kuweka matofali ya uzio kama inavyofanya kwenye sehemu za kisasa za maji-taka.

English

it takes a cistern that can be made with a shovel and perhaps setting liner stones as is often done in a modern septic field.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hatimaye, siku ya alhamisi, septemba 24, wapangaji kadhaa waliamua kuchukua hatua kwa kuyaondoa matofali na kisha kumtoa mbwa huyo na ambaye aligundulika kuwa alikuwa na mimba.

English

finally, on thursday, september 24, several tenants decided to take matters into their own hands, pulling up the bricks and digging out the trapped animal, which turned out to be pregnant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mkutano wa hadhara wa mwisho kwa kampeni ya umeya wa chama cha upinzani cha mdm katika beira ulimalizika kwa watu watatu kuuawa na kadhaa kujeruhiwa - waliojeruhiwa ni pamoja na mwana wa mgombea - kufuatia mashambulizi ya polisi wa kutuliza ghasia ambao walitumia mabomu ya kutoa machozi na kufyatua risasi kwa hewa.

English

the final mayoral campaign rally of opposition party mdm in beira ended with three people killed and several injured - the injured included the candidate's own son - following an attack by riot police who used tear gas grenades and shot bullets to the air.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,787,611,039 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK