Results for kuhakiki translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kuhakiki

English

revising

Last Update: 2018-12-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pia walijadili umuhimu wa kuhakiki maudhuri na mbinu bora za kufanya kazi hiyo na pia kujibu maswali yenu kupitia kipindi cha maswali na majibu.

English

they also discussed the importance of content verification and best practices and taking your questions via the q and a app. 

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tusaidie kufuatilia na kuhakiki habari hizi kuhusu wakuu wa isis wenye histori ya jeshi kwenye dawati letu la kuhakiki utaarifa la global voices hapa.

English

help us track and verify stories on the number of isis top command with military backgrounds in our global voices/checkdesk partnership project here.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakanipatia namba ya simu ya zambia ili niwapigie wakisema kwamba ni ya mke wa zamani wa rais na kama ninataka kuhakiki na nilipoipiga namba hiyo, ikapokelewa na mtu aliyekuwa kitwe na hata haikuwa ya bi mwanawasa.

English

they even provided me a zambian phone number i can call stating that it is for the former first lady if i want to confirm and when i called the number, the person who answered is based in kitwe and it is not even mrs mwanawasa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakinikigezo hicho hicho kimetumika kuhakiki aina mbalimbali za michoro na picha, kuanzia ile ya akina mama wanaoonekana kunyonyesha mpaka kwa wasanii ambao kazi zao zinaonesha chuchu, sehemu za siri za kiume, na hata zile za kike.

English

but the same criteria has been applied to a broad range of images, from breastfeeding mothers to artists whose works reveal nipples, penises, and in particular, vaginas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika siku ya uchaguzi, elección ciudadana wataendesha kituo cha kujitolea - kilichoratibiwa kwa kiasi kikubwa na venezuela inteligente - mahususi kwa ajili ya watu binafsi kupokea, kuhakiki na kuchapisha taarifa.

English

on election day, elección ciudadana will be maintaining a volunteer center - organized largely by venezuela inteligente - for individuals to intake, verify and post reports.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,744,388,099 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK