Results for kuishi hivyo hakuna translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kuishi hivyo hakuna

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hata hivyo, hakuna mtu yeyote kutoka pakistani anayetaka sheria hii ibatilishwe.

English

however no one from pakistan demands to repeal this law.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo hakuna atakayeweza kwenda au kurudi kutoka kazini, shule n.k.

English

hence nobody can get to/from work, school etc.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, hakuna anayefahamu ukubwa wa majeraha ya kiongozi huyo wa mapinduzi ya kijeshi.

English

however, no one has a clue about the seriousness of the junta leader's wounds.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo hakuna mtu aliyethubutu kusema, habari zake hadharani kwa kuwaogopa viongozi wa wayahudi.

English

howbeit no man spake openly of him for fear of the jews.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muswada wa makosa ya mtandaoni tanzania: umenukuliwa mahali bila marekebisho yoyote, hivyo hakuna uwezekano wa kutekelezeka

English

cyber crime bill tanzania: copied and pasted, almost zero ability to implement. — lwanda magere (@nndekindo) april 7, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

upelelezi tayari umetangazwa kuanza hata hivyo hakuna mashitaka yaliyofunguliwa dhidi ya yeyote yule anayeaminika kuhusika na kifo cha fodeil aberkane.

English

an investigation is launched but no charges brought as of yet against any of the persons believed to be involved in the death of fodeil aberkane.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bado hata hivyo hakuna anayeamini wanachokisema watoto hao, kwa sababu watoto hao watatu pekeyao wanazo nguvu maalumu za usawa na uvumilivu zinaowawezesha kuona kile ambacho jamii zao haziwezi kukiona.

English

yet nobody believes what the children have to say, because these three children possess special powers of equality and tolerance that enable them to see what others in their communities cannot see.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shirika la habari la reuters sasa limeripoti kuwa ndege hiyo ilianguka kwneye bahari za china kusini, hata hivyo, hakuna tangazo rasmi lililotolewa wakati wa kuandikwa kwa makala haya.

English

reuters have now reported that the plane crashed in the south china sea, however no official announcement has been made at the time of writing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tena, katika nchi ya israeli nyakati za elisha kulikuwa na wenye ukoma wengi. hata hivyo, hakuna yeyote aliyetakaswa ila tu naamani, mwenyeji wa siria."

English

and many lepers were in israel in the time of eliseus the prophet; and none of them was cleansed, saving naaman the syrian.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hata hivyo, hakuna lililoweza kupunguza wimbi la furaha lililofunika uhindi magharibi wakati visiwa viwili vilivyoko kwenye ncha mbili tofauti za visiwa hivyo vilileta nyumbani dhahabu na fedha kutoka katika michuano ya juu ya olimpiki ya 2008.

English

still, nothing could stem the overwhelming tide of happiness that washed over the west indies when two islands at opposite ends of the archipelago brought home the gold and the silver in one of the most high-profile events of the 2008 olympic games.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

iran inasema kwamba imepanga mazungumzo kuhusu mpango wa amani wa kukomesha vita vya wenyewe kwa wenyewe vya nchini syria, hata hivyo hakuna uwakilishi kutoka upande wa waasi utakaokuwepo kwenye mazungumzo hayo kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya tehran na utawala wa bashar assad, rais wa syria.

English

iran says it has planned talks on a peace plan to end syria's civil war, but no rebel factions will attend because of tehran's close bonds with bashar assad's regime.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,745,636,306 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK