Results for kujeruhi translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kujeruhi

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

waliua watu 5 na kujeruhi kundi la watu.

English

they killed 5 and injured a group of people.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

majeshi ya israeli yaliivamia gaza na kuua na kujeruhi mamia ya watu.

English

israeli troops attacked ghaza killing and injuring hundreds.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wameua watu wasio na hatia wapatao 39 na kujeruhi zaidi ya watu 150.

English

they have killed at least 39 innocent people and injured more than 150 others.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waliamini kwamba " kujeruhi raia wa comoro kwa lengo la kuwalinda wakubwa inaleta picha ya usaliti kwa nchi hiyo ya comoro".

English

they believe that "any comoran casualties over protecting an elite cast is itself a act of betrayal towards comoros".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

leo ni siku ya 19 ya mashambulizi ya israel kwenye makazi ya wapalestina, ambayo yamepoteza maisha ya watu wasiopungua 1,000 na kujeruhi wengine 6,000.

English

today is day 19 of an israeli offensive on the palestinian enclave, which has claimed the lives of at least 1,000 palestinians and injured 6,000 others.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

magogo ya miti yaliyokuwa yameanguka barabarani yanaonekana kusababisha msongamano mkubwa na ulioua watu 60 na kujeruhi wengine 49 wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya mjini abidjan, côte d'ivoire.

English

tree trunks laying on the road seem to have triggered the stampede that killed 60 and injured 49 during a new year celebration in abidjan, côte d'ivoire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jengo la ghorofa tisa lililokuwa na idadi kubwa ya watu wanaotengeneza nguo liliporomoka huko savar, nje kidogo ya mji mkuu dhaka na kuua watu 142 na kujeruhi takribani watu elfu moja, hali iliyopelekea kuibua umakini wa hali ya usalama kwa sekta ya viwanda nchini bangladesh.

English

a nine-story building with mostly garment manufacturers collapsed in savar, in the outskirts of capital city dhaka, killing 142 people and injuring close to a thousand, resurrecting concerns of safety conditions in bangladesh's manufacturing industry.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tarehe 21 septemba, 2013, kikundi cha wanajeshi wenye silaha walivamia kituo cha biashara jijini nairobi, mji mkuu wa kenya, walimimina risasi, wakiua watu wanaosemekana kufikia 69 na kujeruhi mamia.

English

on 21 september, 2013, a group of armed militants stormed an upscale mall in nairobi, the capital city of kenya, and opened fire, killing by the latest count 69 people and injuring hundreds more.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika shauri ladaniel, uchunguzi mwingine uliagizwa kufanyika kwa kuwa ule wa kwanza ulikosa ushahidi wa kutosha ili kukamilisha hukumu.a. kama ilivyo kwa paulino, mahakama ilibadilisha shitaka lake na kulifanya kuwa ni la kujeruhi kwa kuzingatia “makosa ya kiushahidi katika matumizi ya sheria”, hivyo hukumu yake ikabadilishwa kutoka miaka 10 gerezani hadi kifungo cha nje ya gereza kwa miaka 3.

English

in daniel's case, a new trial was ordered because the first one lacked enough proof to reach a sentence. as for paulino, the court changed his accusation to injuries based on "evident mistakes in the application of the law", therefore his sentence changed from 10 years in prison to 3 years in parole.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,746,977,352 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK